Uncategorized

KATIKA ZAWADI ZETU TUNA HANDBAG HII HAPA,JIBU SWALI UJISHINDIE.

By  | 

Japo kuwa hand bag ni ya wadada lakini hata mwanaume unaweza kushiriki.Ukishinda kaka unaweza kumpa zawadi dada yako,mama yako,mpenzi wako n.k

OTEA NDANI YA HANDBAG HIYO KUNA NINI?

jibu hapa hapa ukiandika na jina lako au jina unalotumia kucomment.

Shindano hili ni kwa hisani ya Qfashions Boutique.

60 Comments

 1. Anonymous

  July 31, 2012 at 11:39 am

  katika hiyo handbag kuna mifuko ya plastic ya kutunisha handbag ionekane vizuri wakati ikiwa imejaa yaani kumshawishi mteja jinsi ya uzuri wa handbag ilivyo ikiwa imejazwa vitu ndani.

 2. eve

  July 31, 2012 at 11:53 am

  kuna viatu na pair ya nguo

 3. AMMY K

  July 31, 2012 at 11:55 am

  kwenye hiyo handbag kuna perfum,wallet,simu,pamoja na vipodozi vidogovidogo na kanga.

 4. enzi

  July 31, 2012 at 11:56 am

  kuna makaratasi yaliyowekwa ili kutunisha handbag

 5. ni mimi mwenyewe mwala (Eunice)

  July 31, 2012 at 12:14 pm

  kuna make-up set, kitana, mafuta ya kupaka mkononi ukinawa, lotion, pad na one peace of khanga

 6. Anonymous

  July 31, 2012 at 12:20 pm

  Dina,

  Humo kuna wallet (kwa ajili ya pesa), make up (lipstic, wanja, pawder, etc), Kikoi au khanga kwa ajili ya dharura za kina dada, pad, manukato (ya kupulizia mwilini au perfume), uzi na sindano pamoja na vitambulisho (cha kazini, atm cards, bima etc).

  Mimi

 7. Catryn Francy

  July 31, 2012 at 12:26 pm

  Kuna WALLETY

 8. Anonymous

  July 31, 2012 at 12:41 pm

  Dina mtihan uo!m nahc kuna make up kit.Lilian masika wa kigambon

 9. Lora

  July 31, 2012 at 12:43 pm

  Kuna lip stic/ lip shiner, make up, moisturizer, hankie & tissue, wanja na kijiwalet kidogo

 10. Lora

  July 31, 2012 at 12:46 pm

  Bila kusahau a pair of shoes

 11. Anonymous

  July 31, 2012 at 12:47 pm

  KUNA BOX,

  Monicaa JN. ROCK CITY

 12. Anonymous

  July 31, 2012 at 12:55 pm

  Kuna yale makaratasi

  A
  DSM

 13. aym

  July 31, 2012 at 1:15 pm

  hakuna kitu. A wa sinza

 14. Anonymous

  July 31, 2012 at 1:16 pm

  hamna kitu

 15. Anonymous

  July 31, 2012 at 1:16 pm

  hamna kitu

 16. Anonymous

  July 31, 2012 at 1:20 pm

  kuna wallet, kitana, make up pamoja na mtandio mdogo nimepatia dada Dina eee,

 17. Anonymous

  July 31, 2012 at 1:27 pm

  kuna make-up, kuna nguo kwa ajili ya dharura,lipshine,pad, abby

 18. Anonymous

  July 31, 2012 at 1:31 pm

  kuna wallet, kitana, make up pamoja na mtandio mdogo nimepatia dada Dina eee,

 19. Anonymous

  July 31, 2012 at 1:50 pm

  Hakuna kitu

 20. Anonymous

  July 31, 2012 at 2:01 pm

  kuna perfume na make up set na leso. Delphina.

 21. Anonymous

  July 31, 2012 at 3:00 pm

  Hiyo ni handbag ya kwenye boutique, so haziwag na uchafu au makatasi. Ila kuna pochi ndogo ya hiyo handbag. Pochh kwa ajili ya pesa, simu nk. Arapha wa Upanga Dsm.

 22. Anonymous

  July 31, 2012 at 3:00 pm

  Kuna khanga,simple shoes(sandals),make up kit,lipstick,wanja,lipshine,wallet,perfume/body spray,head phone,flash disk,simu za mkononi,kitana,hand lotion,handkerchief,pedi,tissue/toilet paper

  Its me hossy F.

 23. Arapha Upana Dsm

  July 31, 2012 at 3:03 pm

  Humo ndani kuna pochi ndogo ya handbag hiyo huwa zinatengenezwa pamoja na inakaaga ndan ya handbag.

 24. tatu

  July 31, 2012 at 4:40 pm

  kuna box dina

 25. Anonymous

  July 31, 2012 at 5:01 pm

  Kwenye handbag kuna make-ups, khanga/kitenge, notebook, kalamu, facial wipes, hand lotion, kioo, hair brush/kitana, perfume

  A. Jonas was Iringa

 26. Anonymous

  July 31, 2012 at 7:55 pm

  Kuna khanga,chupi,vipodozi,kitana au chanua,pedi,wallet,na flat sandoz.

  Bd.

 27. Anonymous

  July 31, 2012 at 9:12 pm

  kuna vile vipunje vdgo kama dawa ya mende vinavyokaa kwenye kijikaratasi.na vinaleta harufu ya upya.
  its me nacky

 28. Anonymous

  August 1, 2012 at 4:10 am

  Dina,

  Humo kuna wallet (kwa ajili ya pesa), make up (lipstic, wanja, pawder, etc), Kikoi au khanga kwa ajili ya dharura za kina dada, pad, manukato (ya kupulizia mwilini au perfume), uzi na sindano pamoja na vitambulisho (cha kazini, atm cards, bima etc). Na kitana Dina nilisahau

  Mimi

 29. Anonymous

  August 1, 2012 at 5:25 am

  Habari, mimi nadhani kuna wallet nzuri yenye rangi kama mkoba wenyewe, kuna lipstic, powder, handcachief, mtandio au kanga, kuna bussnescard, kuna pen na diary ndogo,kuna bodyspray ndogo ya mdada. ni hivi vitu ambavyo mimi binafsi naona vimo kwenye hii handbag. LUCY STEVEN, DSM

 30. Anonymous

  August 1, 2012 at 6:24 am

  kuna viatu na makaratasi na kutunisha ionekane uzuri wake

 31. Anonymous

  August 1, 2012 at 6:25 am

  kuna viatu na makaratasi ya kutunisha ionekane vizuri. bahati

 32. melania

  August 1, 2012 at 6:32 am

  Kuna Biblia

  Melania,Dsm

 33. Susan

  August 1, 2012 at 7:59 am

  Mawazo yangu kwakuwa hiyo handbay ipo dukani sidhani km utakuwa na kitu humu ndani zaidi ya makaratasi ya kuweka hiyo handbag vizuri na impendezeshe mteja na kununua.

 34. Anonymous

  August 1, 2012 at 8:37 am

  Habari Dina,
  miminadhani humondani ya hand bag kuna lipstic,powder,wanja,pochi ndogo,khanga,paid,plstic bag yakununulia vitu baada ya muda wa kazi,kitambulisho cha kazi,perfume,handcachief,simu hivi ndio mimi nadhani vimo humo.
  shani kabali DSM.

 35. mama G

  August 1, 2012 at 9:03 am

  1.KUNA SUTI
  2.KUNA KIBOX KIDOGO

 36. Anonymous

  August 1, 2012 at 10:01 am

  kwenye hiyo handbad kuna makaratasi au vitambaa vinavyofanya handbag ilete mvuto ili iweze kuvutia mteja anapotaka kununua, yaani inafanya handbag ikae kwenye nafasi yake hata mteja ukiingia unavutiwa. mama kisela

 37. Anonymous

  August 1, 2012 at 10:12 am

  Hamna kitu, Jacquiline

 38. Anonymous

  August 1, 2012 at 10:14 am

  Hi Dina kwenye Hand bag kuna kitenge au kanga
  Rose a.k.a Mama Isaac Dsm

 39. sophia mkumbo

  August 1, 2012 at 10:40 am

  maswali yanaanza lini dina

 40. sophia mkumbo

  August 1, 2012 at 10:41 am

  maswali yanaanza lini dina

 41. Anonymous

  August 1, 2012 at 11:19 am

  kuna kioo

 42. gtownbiz

  August 2, 2012 at 6:21 am

  HAMNA KITU HUMO NDANI, ZABLON OSIEMO

 43. Anonymous

  August 2, 2012 at 7:24 am

  My dear kikawaida pochi inatakiwa kuwa na vitu vifuatavyo na naamini kama ni zawadi nayo inastaili kuwa na vitu vifuatavyo
  1:Walleet
  2:Small makeup bag kwa ajili ya kioo, wanja, lipgloss/shime au lipstic,kitana, pad, powder,wet tissue,
  3:Diary / note book & pen,
  4:Hand Lotion
  5:Sun glasess
  6:Business card holder
  7:khanga/mtandio/kikoi inategemea na ukubwa coz hata pochi haipendezi kama itajaa sana kama unasafiri
  hi hayo tuu kutokana na pochi yangu inavyoonekana.
  E.F
  from ARUSHA

 44. Anonymous

  August 2, 2012 at 8:07 am

  NAITWA BAHATI HIYO HAND BAG DINA KUNA YALE MAKARATASI YA KUTUNISHA POCHI IWE NA MWONEKANO MZURI.

 45. Anonymous

  August 2, 2012 at 11:41 am

  Kaitika hiyo pochi kuna manailoni au makaratasi ya kuitunisha ili ioneka vizuri ikiwa dukani. Nimi Joyce kutoka Arusha

 46. Anonymous

  August 2, 2012 at 12:58 pm

  kuna laptop-Naitwa mwanamimi ally mohamed

 47. mama G

  August 2, 2012 at 1:18 pm

  suti

 48. Anonymous

  August 2, 2012 at 4:48 pm

  Dada Dina naomba apo uangalie vgezo km m2 kaandka vtu vwl lakn ndan ya poch kuna kimoja kati yapo asipewe na badala yak apewe aliyetajataja iko k2 km n kmoja au vwl

 49. Anonymous

  August 2, 2012 at 4:51 pm

  Humo kuna viatu tu.lilian leonard

 50. COMMY MSANGI

  August 3, 2012 at 11:34 am

  DINAH MBONA COMMENT YANGU HUJAIWEKA HUMO NDANI HAKUNA KITU YAANI KUNA YALE MABOX NA LAILONI BASI.ILI HANDBAG LIWE VIZURI KWA TAYARI KUNUNULIWA WEKA BASI NAWEZA SHINDA LABDA.COMMY MSANGI.

 51. Anonymous

  August 4, 2012 at 6:40 am

  dada Dina mbona utupi majibu na subiri majibu kwa hamu nahisi ntakuwa nimeshinda

 52. Anonymous

  August 11, 2012 at 3:18 pm

  humo ndani kuna simu by CR

 53. LOKOJR

  August 12, 2012 at 11:01 pm

  Tuilumba Loko wa Kinondoni Dsm kwenye bag kuna kipochi kidogo mean hand pochi tu.

 54. Anonymous

  August 13, 2012 at 1:28 pm

  Kuna box lenye viatu

 55. Anonymous

  August 13, 2012 at 1:33 pm

  nimesahau kuandika jina Dinah, ni mimi niliekoment kuna box lenye viatu.naitwa Monica

 56. Anonymous

  October 1, 2012 at 2:56 pm

  KUNA CHUPI ZA KIKE. JOSEPH

 57. Anonymous

  July 8, 2013 at 11:03 am

  kwenye handbag kuna baibui na mtandio kama zawad ya ramadhan. zainab wa maktaba

 58. Anonymous

  July 8, 2013 at 11:09 am

  kuna baibui na mtandio.zainab wa maktaba.

 59. Anonymous

  July 8, 2013 at 11:12 am

  kuna baibui na mtandio ,zainabu wa maktaba ya taifa

 60. Anonymous

  August 13, 2014 at 8:24 am

  Kuna perfumes Linda

Leave a Reply