Uncategorized

BINADAMU WA KWANZA KUFIKA MWEZINI AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 82

By  | 
Neil Amstrong amefariki dunia baada ya kutokea complications akifanyiwa oparation ya moyo .Neil Amstrong amefariki akiwa na miaka 82.Dunia itamkumbika kwa rekodi yake ya kihistoria ya kuwa binadamu wa kwanza kuingia na kukanyaga mwezini.
Mission hiyo ya Apollo 11 ilifanyika mwaka 1969 na yeye akiwa kiongozi wa msafara wa watu watatu kuelekea mwezini.

 Ilikuwa  july 6 1969 wakijiandaa kuondoka huku wakipunga kuaga na yeye mbele kabisa kuingia kwenye van iliyowapeleka kwenye rocket tayari kuanza safari kuelekea mwezini.

 Neil Amstrong kushoto na mwenzake Buzz Aldrin kushoto wakiwa tayari mwezini na kuweka bendera ya Marekani.Walikaa mwezini kwa masaa matatu tu.
 Neil Amstrong alikanyaga kwa mara ya kwanza mwezini yeye akiwa wa kwanza July 20 1969
Alama hiyo ya mguu inaonyesha jinsi gani mwezini ni kama ardhi  laini sana kama poda hivi.
 Buzz Aldrin yeye alikuwa wa pili kukanyaga mwezini nyuma ya Neil japo wote walikuwa katika mission moja hiyo ya Apollo 11.
Akiwa na Presedent Obama 2009.

3 Comments

 1. Anonymous

  August 26, 2012 at 1:29 pm

  I like the storry Dinna!

 2. Anonymous

  August 27, 2012 at 9:11 am

  Heri umerudisha Blog hivi , By theb way ahsanteni saaana na Nyumbani leo yaani nimegeuza Godoro ohoo miracle I was about to buy New Godoro Lolest !

 3. Anonymous

  September 10, 2012 at 11:10 am

  Jamani cc wa Tz , hizo habri zitupo changamoto tuweze kufikiria chochote kile ktk sayansi ili tujivunie wenyewe nakizazi chetu

Leave a Reply