Uncategorized

CHRISTINA PAULO…KIKAZI ZAIDI

By  | 

 Ni mama lishe mkazi wa Tegeta eneo la machinjio mwenye miaka 43.Anaaamka asubuhi na mapema kupikia wateja wake.

 Asubuhi lazima asukume maandazi kwa ajili ya chai

 Andazi moja ni Ths 100 na kwa siku anauza maandazi 80 na wateja wanapenda sana maandazi yake.
 Pia lazimaa aandae chakula cha mchana amao ni wali kwa siku anatumia mchele kg 4,sahani moja ya wali ikiwa na nyama,mboga za majani na maharage ni Tsh 1,400.

 Ni mke na mama wa watoto wawili na anafurahia sana kazi yake kwani inamfanya asikae bure bali ajitume kwa ajili ya familia yake.Akilala anakuwa amechoka sana lakini hana budi kuamka alfajiri na mapema kupika kama kawaida.

4 Comments

 1. Anonymous

  August 3, 2012 at 7:23 am

  Ndivyo inavotakiwa mama, pongezi kwako mwanamke uliethubutu..
  Mwenyzi Mungu akuzidishie mama!

 2. Anonymous

  August 3, 2012 at 7:26 am

  WANAWAKE NA MAENDELEO…

 3. RUKY

  August 3, 2012 at 4:17 pm

  SAFI MAMA YANGU WENGINE NDIYO KAZI ZILIZOTUKUZA MPAKA TUMEWEZA KUJITEGEMEA NA NAPI NA PI IMETUJENGEA NYUMBA YETU YA KIFAMIL KWA BISHARA KM HII SO BIASHARA YA CHAKULA ASIKWAMBIE MTU HUWA AIMTUPI MTU..

 4. lyna engeny

  August 3, 2012 at 6:18 pm

  jmn ongera cna wakinana wote wakiwa hivi bongo tungefika mbali cna.

Leave a Reply