Uncategorized

FAIDA ZA TANGAWIZI

By  | 

Tangawizi ni kiungo ambacho kinatokana na mizizi ya mmea wa tangawizi.Tangawizi hutumika ikiwa mbichi au kavu iliyosagwa na kuwa unga.Tangawizi hutumika kwenye chai au kiungo kwenye chakula.
FAIDA
1.Huongeza hamu ya kula
2.kupunguza kichefu chefu
3.kuharisha,kutapika,gesi tumboni.
4.Uyeyushwaji wa chakula tumboni,mafua na kifua pia inafaa kama tiba.

4 Comments

 1. lily z

  August 9, 2012 at 11:37 am

  asanteee kwa tip love

 2. mama 2 Mrs. M

  August 9, 2012 at 2:25 pm

  Ok! asante kwa kutujuza. Nilikuwa natumia tu sana nikijua inasaidia kulainisha nyama iive mapema pamoja na kiungo cha chai. Kumbe kuna mambo mengine ya ziada. Thanx Dina.

 3. Hamida Suleiman

  August 10, 2012 at 6:12 am

  thanks dear

 4. Getruder Ndanshau

  August 24, 2012 at 5:16 am

  thanx Dina

Leave a Reply