Uncategorized

KINACHOFANYA WASANII HAWA WATABASAMU KILA SIKU

By  | 
Shilole na Sharomilionea
“Nikiamka na hela kwenye wallet siku yangu huianza na tabasamu tele.Nisipoamshwa na simu ya habari mbaya na kubwa zaidi nipatapo maoni mazuri na ya kutia moyo kutoka kwa fans wangu”…Sharo milionea.

 ”Nikiamka salama,nikiwa sina binadamu yoyote anayenisumbua na kuniskosesha amani,gari yangu ikiwa full tank na nikiwa na pesa kwenye waleti”…Shilole

“Kwanza nina meno mazuri masafi na meupe yamejipanga vizuri,pia napenda kucheka sijui kukasirika hata nikikerwa”…Barnaba

4 Comments

 1. mama 2 Mrs. M

  August 3, 2012 at 5:37 am

  Waendelee hivyo hivyo kufurahi muda wote ili wasizeeke sura upesi. Ukiwa mtu wa furaha muda wote sura yako kila siku unaonekana hauna makunyanzi.

 2. emu-three

  August 3, 2012 at 5:48 am

  Ni kweli pesa ni kila kitu, hata hivyo unaweza ukawa na pesa usiwe na furaha, mfano unaumwa…! Lakini ni vyema ukajitahidi kufurahi, kwani kufurahi kunaashiri uhai,na huongeza uhai, au sio?

 3. Anonymous

  August 6, 2012 at 8:08 am

  JAMANI NASHINDWA KUONA HABARI MPYA..NI USHAMBA NINI UNANISUMBUA…NAONA KIZUNGU ZUNGU KILA NIKIFUNGUA NAANGALIA JUU JUU TU.

 4. Unknown

  August 10, 2012 at 12:44 pm

  mweeeeeh

Leave a Reply