Uncategorized

KUTOKA OLIMPIKI,USAIN BOLT NDIO HABAR YA LEO

By  | 
JE ATAVUNJA REKORI YAKE MWENYEWE NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU TENA.
Anatambulika kama  “the fastest man in history.”Kutoka Jamaica anaeshikilia medali ya dhahabu ya mbio za mita 100.Leo ndio leo je ataendeleza jadi yake?hili ndio tukio kubwa linalotarajiwa kutazamwa sana leo katika michezo ya olimpiki na mimi nikiwa mmoja wao.
Usain Bolt mwenye miaka 24 alipata medali ya dhahabu mwaka 2008 katika michezo ya olimpiki ikiyofanyika China akimaliza kwa sekunde 9.69.Na ana medali nyingi sana ukitaka kujua mengi kumhusu ingia hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Usain_bolt

Leave a Reply