Uncategorized

LADY IN PINK

By  | 
Najaribu kupendelea nguo zenye rangi maana naambiwa nguo hizi ndio zinanipendeza.
 Nafata ushauri wa wadau hasa unapoleta tija.

Hili pozi tu jamani maana hamchelewi kusema Dina sijui nini…..

45 Comments

 1. atug

  August 6, 2012 at 1:21 pm

  luv u dina

 2. atug

  August 6, 2012 at 1:22 pm

  luv u dina

 3. Anonymous

  August 6, 2012 at 1:31 pm

  umependeza sana dada Dina picha nyingi nguo hizi huwa zinakupendeza zaidi ya zile za dark colours you are so cute dear!

 4. Anonymous

  August 6, 2012 at 1:31 pm

  Yan dina ucje ukajchbua ht ck moja.umependeza sana hasa hko kimin.lily masika

 5. R.Ngaiza

  August 6, 2012 at 7:51 pm

  Umependeza sana Mpenzi, me kila picha yako naonaga umependeza na uzuri unachangia. Umepungua vizuri sana

 6. Anonymous

  August 6, 2012 at 9:32 pm

  dina mbona unajitetea mapema? jiamini mwanamke. umependeza ila hizo nguo zako na mauaua yako uwe makini usipite karibu na mzinga wa nyuki manake lazama ukipate. like that pozzzzz.

 7. Anonymous

  August 7, 2012 at 5:06 am

  You luk gud. Unapendeza kwenye nguo zilizokuwa na rangi angavu kama hiyo uliyovaa.

  Mimi

 8. mama 2 Mrs. M

  August 7, 2012 at 5:35 am

  Ni kweli Dina umependeza, huyo aliyekushauri uvae hizo za nguo wala hakukosea. Kwa kweli u look mwaaaaa!

 9. Anonymous

  August 7, 2012 at 8:47 am

  Mimi binafsi nakupenda sana jinsi ulivyo, hasa rangi yako.

 10. Nancy M.

  August 7, 2012 at 9:00 am

  Beautiful…!

 11. Anonymous

  August 7, 2012 at 9:21 am

  Dina kama unapokea ushauri wa wateja na unaufuata kama una tija basi nakushauri uachane na hicho kikuku make wapenzi wako wameshakukataza siku nyingi umegoma kukivua sawa ni urembo lakini si wa wasichana wa type yako!!!!unajua dhamani yako kwako na kwa jamii pia?please remove that kikuku i beg you!!

 12. Anonymous

  August 7, 2012 at 9:34 am

  dada yangu we ni waukweli na huna chembe ya maringo

 13. Anonymous

  August 7, 2012 at 10:40 am

  MIN YAKE USAFIRI, HAPO VP?

 14. Anonymous

  August 7, 2012 at 10:57 am

  pendeza saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaa

 15. Anonymous

  August 7, 2012 at 11:42 am

  Hasa chain ya mguu wa shoto ikionekana vizuri!!!!

 16. Anonymous

  August 7, 2012 at 3:37 pm

  mmh! my dia wewe mwezi mtukufu huuoni na hiko kimini?ucije ukaharibu swaumu za watu eti!Ila hilo pozi ulifanya mazoezi masaa mangapi?

 17. Anonymous

  August 7, 2012 at 5:36 pm

  u look good cutie

 18. Anonymous

  August 7, 2012 at 6:41 pm

  Kiukweli mie huwa daima naona unapendeza sana haijalishi ni vazi gani umepiga cjui coz nakupenda sana!!!?anyway you look cute as usuall.luv ya.

 19. RUKY

  August 7, 2012 at 9:24 pm

  Wawoooo. umependeza Dina na umepungua vizuri na subiri mfungo tumalize nami niaanze dayat yetu…

 20. Anonymous

  August 8, 2012 at 7:19 am

  Enheeee hapo sasa tunaanza kukuelewa,good look

 21. Anonymous

  August 8, 2012 at 7:48 am

  please dina,nywele kakutengeneza nani?nategemea kuja bongo,naomba weka no ya simu,napenda nitengeneze style kama yako.napenda style ya nywele fupi.ndio kumtafutia mteja kwa aliekutengeneza nywele

 22. Anonymous

  August 8, 2012 at 10:52 am

  kweli umependeza sana

 23. Anonymous

  August 8, 2012 at 12:49 pm

  Dina blog haijapendeza, yaani unapata shida kusoma, nibora urudishe kama mwanzo, ni wazo tu!!

 24. Anonymous

  August 8, 2012 at 1:34 pm

  Umependeza sana Dinna. Mi pia niko kwenye mazoezi ya nguvu…nilichogundua ni kuwa mtu ukiwa na control na mwili wako confidence inaongezeka. Yani sasa hivi kila ninachovaa nahisi niko powa kuliko nilipokuwa bonge.

  Kupungua kunaongeza choice ya nguo za kuvaa..Ona ulivyopendeza na kimini chako mwenyewe…ungekuwa bonge ungevaa hiyo ukajicheki kwenye kiooo mwenyewe ungevua. Lol

 25. kivespa

  August 9, 2012 at 6:21 am

  sanaaaaaaaaaaaa yani sanaaa …..tokelezea vibayaa

 26. Anonymous

  August 9, 2012 at 11:10 am

  UMEPENDEZA SANA BUT TRUST ME, NGUO AMBAZO SIO COLORFUL ZITAKUPENDEZA ZAIDI YA HAPA. NGUO ZILIZO COLORFUL HUMFANYA MTU AONEKANE MNENE (HUGE) UNLIKE RANGI ZILIZOTULIA
  THATS MY OPINION ANYWAYS.

 27. lily z

  August 9, 2012 at 11:33 am

  kwelli blog inaboa saizi haivutii kama zamani naweza pitisha wik sijacheki si kama zamanii nilikua nakeshaa nayo!!just my optinion mamii!umependeza though.lily Z

 28. RUKY

  August 9, 2012 at 12:31 pm

  WEWE HAPO JUU KIKUU CHA DINA KINA MADHARA GANI? AU ALIYEKWAMBIA C TYPE YAKE NI NANI? NA WENYE TYPE YA KUKIVAA NI KINA NANI? KWANINI WASICHANA MNAPENDA KUWASHUSHA WENZENU HASWA MNAPOWAONA WANAFANYA KITU KIZURI NA KUTAFSIRI MNAVYOTAKA HAPO UMESHA JUA KUWA NI UREMBO SO UNATAKA AKIVUWE KUKUFURAHISHA WEWE ILHALI KIMEMFURAHISH NAFSI YAKE..NYIE NDIYE WALE WATUMWA NSIYOJITAMBUA.. Dina mwaya vaa unachoona kinakufurahisha nafsi yako mradi kisikudhalilishe utu wako.. love u girl umpo wewe km wewe na endelea kuwa wewe km wewe… dont COPY na KUPASTE

 29. Anonymous

  August 9, 2012 at 1:13 pm

  pendeza sana mamii,naona upo mbezi beach,makonde,mitaa ya Hiza dispensary.

 30. Hance

  August 9, 2012 at 8:24 pm

  me kwa upande wang DM umependeza. Ila sijui uliwahi kupanda mlima kilimanjaro make hiko kiazi hapo nyuma,laaah!

 31. Anonymous

  August 9, 2012 at 8:27 pm

  I love u dina

 32. Anonymous

  August 9, 2012 at 8:38 pm

  I love u dina

 33. Anonymous

  August 10, 2012 at 7:59 pm

  wewe umejuaje kuwa aliyebonda kikuku ni mwanamke au mwanaume??? Mwache dina mwenyewe aamue ushauri gani wa kufuata hupi wa kuacha? Wewe nawe kama ni wa vikuku na haushauriki ni mpango wako? Usimforce dinna kufanya maamuzi.

 34. Anonymous

  August 13, 2012 at 5:43 am

  Halafu ww hapo juu unaependa kubondea miguu ya wenzio natamani kweli nikuone hiyo miguu yk, DM ukijali mguu hutakaa uvae kitu kizuri, ww nani kakwambia vimini ni kwa wa2 wenye miguu minene!? Bc wenye miguu mibaya tutashindwa kuvaa hivyo vimini. Mwaya Dina vaa uwezavyo mguu kitu gn bwana, mm nina kigimbi lkn asilimia 90 ya nguo zangu ni vimini, achana nao hao na vijiba vya roho. U luk Mwaaaaaa mdogo wangu

 35. Anonymous

  August 13, 2012 at 9:24 am

  Hata mimi vikuku naviona vya machangudoa sorry ohoo

 36. Anonymous

  August 14, 2012 at 8:55 pm

  Vikuku japo vinapendeza sana mimi sivai. Mume wangu ameshanambia nisimkwaze kwani washkaji zake watamsanifu my wife wake nikivaa kikuku. Hivyo wakati mwingine inabidi tufuate mitazamo ya jamii. Sioni kama nimepungukiwa chochote kwa kutovaa kikuku na nina bonge la mguu…kwani najali sana jamii inanichukuliaje including my hubby ambaye anajua fika hatutumii 0713 (TIGO) lakini ana insist nisivae vikuu kwa kuwa hataki watu wanichukulia poa

 37. kitwitwi

  August 15, 2012 at 1:03 pm

  kiukweli unapendeza.ila kilichonivutia zaidi ni hilii swala la kikuku lililojitokeza,mimi mwenyewe naombeni mwongozo kwenye hili maana napenda saaaaaana kuvaa kikuku kiasi ikafikia nikajichangaaaaa nikaamua kujinunulia cha dgold hyo yote nikahisi ni katika kujipendezesha tuu kama mwanamke lakini cha kushangaza nimekuwa nikikutana na watu wengine wakiniuliza eti kina maana gan?????/hapo ndo nilikuwa nikipata mshtuko kumbe kikuku kina maana yake!!!!!!bas mi sikujali nika wa nawajibu jamani mi sina maana na navaa kama urembomwingine wowote tu like hereni au chenn,bas kikuku kikaendelea kubaki kwenye mguu wangu bila kuvuliwa kwa muda wa miaka kama mitano sita hv nikiwa naenda kanisani na kazini kama kawaida,nawala sikuwa nawaza lolote BUT hivi majuzi ikatokea nimehama kitengo kazini sasa hapo kwenye hicho kitengo kipya nilichohamia ndipo nilipokutana na mkasa wa kuvuliwa kikuku changu coz niliitwa na boss tena mkaka tu nakunichambaa mnooo kuhusu hicho kikuku huku akidai kuwa et kina maana tofa uti bila kubainisha ni maana gan bt kwakuwa mi ni mtu timamu bas nikaoona mazungumzo yake yamegemea kuwa kikuku ni kama ki tambulisho flan cha aina ya ngonoambayo we mvaaji unatumia !!!!!!!I WAS VERRY DOWN N DISAPOINTEDbt nilikaa kimya na sikuumjibu kwa heshima tu kwa kuhofia kuipoteza kaz yangu coz nilikuwa na hasira mmmmnoooo as aliniamuru nikivue na asikione tena.bas nikawa nawazaa hv hii dhana yakusema kikuku kina maana yake tena kulingana na mguu unaovaa je inaukweli wowote???????na je nini chanzo cha taarifa hzo???au ni wapo watu wameitoa hyo dhana??maana mi mwenzenu napenda saaana kuvaa kikuku na sikua naamaanisha lolote mwenzenu nilivaa kama urembo tu.naombeni mwongozo kwenye hili maana sijielewi.samahani kama kuna atakae kwazika.

 38. Anonymous

  August 17, 2012 at 9:36 am

  Pole dada kwa yaliyokukuta mie ndo yule yule mleta mada ya kikuku hapo juu.Guys tunaenda shule ili tuelimike sio kujaza shahada makabatini. kuelimika ninakokusema hapa ni kujua kupambana na mazingira yaliyotuzunguka na si vinginevyo.jamii iliyokuzunguka inaweza kuku shape behaviour otherwise utaonekana kituko.kama jamii inaamini kuwa kuvaa kikuku ni tigo basi usivae uone kama utapungukiwa kitu!kama unakipenda sana basi vaa usiku outing na fans wako sio mchana kweupe tena ofisini.huyo alonishushua hapo juu eti dina avae tu apendacho kama wewe ni mdada je umevaa hicho kikuku? kama wewe ni mkaka girlfriend wako kavaa? kama ni urembo mbona kuna vitu vingi vinavyoweza kutumika kama urembo na jamii inavi accept! kwenye maisha unaweza kufanya kitu chochote ambacho unaamini you are right but the society around you will justify it. otherwise tutachekesha walionuna.

 39. Anonymous

  August 18, 2012 at 8:22 pm

  kwa jinsi mungu alivyokuumba hata uvae gunia utapendeza tu dada angu

 40. Anonymous

  August 21, 2012 at 6:27 am

  Dina hivi ndivyo ulivyo kwa sasa au hizi picha ni za zamani kidogo? maana uko bomba ile mbaya

 41. Anonymous

  August 21, 2012 at 2:33 pm

  lov u Dina, umependeza mamie

 42. Anonymous

  August 22, 2012 at 10:28 am

  dina mi mpenzi sana wa blog yako ila kwa sasa inaniboa nashindwa kusoma inazingua tu rudisha kama zamani maoni tu

 43. Anonymous

  August 31, 2012 at 3:12 pm

  U luk mwaaaah!

 44. Anonymous

  August 31, 2012 at 3:14 pm

  U luk Gud

 45. Anonymous

  September 25, 2012 at 8:10 am

  dina naomba uniulizie kampuni au mtu binafsi ambaye anaweza kunisaidia kupata mkopo wa kunisaidia ktk elimu ya chuo kwani nimekosa mkopo hivo nashindwa nifanyeje namba yangu ni 0717175983

Leave a Reply