Uncategorized

MBOGA YA MLENDA

By  | 

Ni ule wa majani ya maboga na bamia jamani nakumbuka kwa bibi yangu mzaa mama tena umepikwa kwenye chungu.Hapo ugali unashuka balaa na uwe na nyama pembeni iwe ya mchuzi au imekaangwa tu.Dagaa zikiwepo pia sio mbaya ugali mkubwa unaweza ushusha mwenyewe ukajishangaa.

7 Comments

 1. Kikuku cha mama Roda

  August 6, 2012 at 5:33 pm

  Hii blog ni kama umeiharibu mimi hata sielewi nisome nini?rudisha ilivyokuwa bwana aaaahhh bore

 2. Anonymous

  August 7, 2012 at 5:11 am

  Mh, umenimezeshaje mateeee? Naupika leo jioni

  Mimi

 3. mama 2 Mrs. M

  August 7, 2012 at 5:32 am

  Ehe Dina, mlenda umenona huo, maana wengine wanawekaga maji mengi lakini huo unaonekana ni rahisi kuukomba na ugali. Umenitamanishaje?

 4. Anonymous

  August 7, 2012 at 8:05 am

  sio siri hata mpaka sasa unalika ni mtamu balaa hata watoto wangu wanaupenda sana. m.kisela

 5. Anonymous

  August 7, 2012 at 9:30 am

  mdau hapo juu ni kweli hata mimi ninashindwa kusoma uturudishie ya zamani pamoja wewe ndio muamuzi wa mwisho

 6. Anonymous

  August 7, 2012 at 3:16 pm

  Dina mshnd wa lile poch le2 nan?lily masika

 7. Anonymous

  August 9, 2012 at 12:44 pm

  umenitamanishaje mlenda wangu,uweke na ingredients dina maana huo hapo juu umenoga kweli

Leave a Reply