Uncategorized

MJUSI ANAEFANANA NA SPIDER MAN

By  | 
 Mjusi huyu alipigwa picha hapa hapa Afrika na kuibua maswali inakuwaje kuwaje anafanana na vazi analovaa spider man wa kwenye movie??
Mjusi huyu alipigwa picha na wanandoa kutoka Sao Paul Brazil ambao ni Mr. & Mrs.Cassio Lopez.
Wakiwa Masai Mara national park katika mto Rongai nchini Kenya ndio walimuona mjusi huyo akipita wakampiga picha.

7 Comments

 1. Anonymous

  August 4, 2012 at 1:32 pm

  Duu!kwel au wamempaka rangi.lily masika

 2. Anonymous

  August 5, 2012 at 5:28 am

  Tabora wamejaaa tele, rangi na size mbali mbali.

 3. tukinao

  August 6, 2012 at 12:09 pm

  Iringa pia wapo kibao mchanganyiko wa kila rangi, tunawaita "komanguruale"

 4. Anonymous

  August 7, 2012 at 9:35 am

  spider man yeye ndo kamuiga mjusi maana yeye ndio mwili wake wa asili na wapo wengi hata huko biirabo muleba wapo tunawaita ebikonkome

 5. Anonymous

  August 8, 2012 at 1:28 pm

  Hapo ndio wenzetu wanapotuzidigi. Hapo ukute hao wanandoa wameshapata publicity kwa kuweka hiyo picha mtandaoni. Sisi tunabaki oooh hata kwetu wapo…hoo; sijuhi nini…tupigege picha na sisi tutoke maana watu wanavumbua vitu tunavyoshinda navyo kama mlima kilimanjaro na lake victoria.

 6. Anonymous

  August 16, 2012 at 1:29 pm

  let them post,they advertise what we have in Africa!

 7. Anonymous

  August 22, 2012 at 7:15 am

  Huyo mjusi anaitwa SROKOTO shinyanga wamejaa kibao!

Leave a Reply