Uncategorized

MSHINDI WA HAND BAG YETU NI….

By  | 
Wengi mmejaribu kujibu swali na waliopatia pia wapo lakini yule aliyewahi kujibu na kwa ufasaha huyu hapa.
anatumia jina la Susan…tuwasiliane ili ukaichukue dada!
Mawazo yangu kwakuwa hiyo handbay ipo dukani sidhani km utakuwa na kitu humu ndani zaidi ya makaratasi ya kuweka hiyo handbag vizuri na impendezeshe mteja na kununua.
August 1, 2012 12:59 AM

9 Comments

 1. Anonymous

  August 16, 2012 at 4:09 am

  Watu hangaiiiiika. Oh, kitana, kanga sijui na nini. Wapiiiii. Hongera Suzi

  Mimi

 2. mama 2 Mrs. M

  August 16, 2012 at 5:52 am

  Hongera sana Bi Suzy, bag zuri sana!!

 3. Anonymous

  August 16, 2012 at 7:54 am

  mbona napitwa na mengi jibu nilikuwa nalichua kitu cha gc ningekichukua ila hongera aliyetoa na mshindi.

 4. Anonymous

  August 16, 2012 at 12:47 pm

  jamani wenzenu tulijaribu majibu hayo hayo tungepewa hata kifuta jasho loooooooooooo ma kisela

 5. evalyne Tagatta

  August 16, 2012 at 1:44 pm

  hongera suzy

 6. evalyne Tagatta

  August 16, 2012 at 1:45 pm

  hongera suzy

 7. Anonymous

  August 17, 2012 at 1:19 pm

  kijiwe chetu kimefulia jamani sijui tufanyeje ?yaani ukifungua unakuta kitu kile kile mpaka inaboa

 8. Anonymous

  August 21, 2012 at 3:31 pm

  Jaman uktaka vchkesho soma coment za wa2 ss we kfuta jasho umenfurahsha sana.lilian masika

 9. Susan Wamunza

  August 24, 2012 at 9:20 am

  Nawashukuru sana wote mlionipa hongera. Mungu awabariki sana.

Leave a Reply