Uncategorized

NIPO MWANZA…SOON NTAKUWA NIKIELEKEA SHINYANGA KWA AJILI YA MAANDAZILI YA FIESTA 2012

By  | 

Nikiwa hapa nimeona ukumbi mzuriiii utakaonifaa kwa shughuli ya Women in balance kitchen party gala Mwanza.Nilikaa na manager kujadili mpaka menu yetu ya chakula na huduma muhimu siku hiyo.Tupo kwenye maandalizi kabla ya mwaka kuisha  wasichana na wanawake wa Mwanza kaeni mkao wa kula tutakutana hapa.Maana mmeniulizia saaana juu ya hili endelea kutembelea hapa.

14 Comments

 1. Anonymous

  August 28, 2012 at 5:31 pm

  da dina krbu shy twn ntakuwa mwenyeji wako naitwa jacque,mama pepy 0715010219,0767010219

 2. Anonymous

  August 29, 2012 at 9:30 am

  All the best dear, love you

 3. emu-three

  August 29, 2012 at 11:41 am

  Haya, kila la heri mpendwa

 4. Anonymous

  August 29, 2012 at 12:42 pm

  Dina ukichelwe ndege acha pozi nimekuona pozi zako airpor on monday norma

  • MOJAONE

   September 6, 2012 at 10:34 am

   MWANAMKE NI POZI

 5. Anonymous

  August 30, 2012 at 7:33 am

  Waaaoh, Dina keep it up ma'dia unajua unatusaidia sana kinamama nasemina ndogondogo kama hizi asiyekubali shauri yake upo juu mama, MUNGU azidi kukubariki, naimani watu wa Mwanza wanasubiri hii kwa hamu. poa, kazi njema Dar tunakumic tu.
  Florah Lawrence

  • MOJAONE

   September 6, 2012 at 10:35 am

   FLORAH UPO JAMANI ULIPOTELEA WAPI.

 6. Anonymous

  August 30, 2012 at 9:48 am

  Umependeza sana dina namkupendaga bure mimi n ni mdau wako mzuri wa leo tena afadhali na wao wapate raha ya kitchen party kila siku sisi 2.

 7. Anonymous

  August 30, 2012 at 4:25 pm

  Karibu sana dinna Mwanza tunakusubiri kwa hamu kuhusu hiyo Woman in balance kitchen party.

 8. Anonymous

  August 31, 2012 at 6:49 am

  yeah dada kama kawa unafanya vizuriii….

 9. Anonymous

  August 31, 2012 at 7:36 am

  Dinna mimi ni shabiki wako wa blog na leo tena, natamani nikuone live niko Mwanza dear sijui nitakuonaje?

 10. Anonymous

  September 2, 2012 at 7:03 pm

  FURAHA YANGU HAIPIMIKI KWA KIPIMO CHOCHOTE DINA KWA TAARIFA HII NILIYOIPATA,NAOMBA MUNGU ANISAIDIE ITAKAPOFIKA HIYO SIKU NIWE BUKHERI WA AFYA,KARIBU MWANZA,TUNAKUNGOJA KWA HAMU WEWE NA TEAM YAKO YOOOTE. MAMA ISAAC WA KISEKE MWANZA.

 11. Ammy K

  September 3, 2012 at 9:33 am

  jamaniii, mbona kimya hivyo de,

 12. MOJAONE

  September 6, 2012 at 12:51 pm

  USISAHAU KUPITA KWETU IGURUBI.

Leave a Reply