Uncategorized

SENSA YA WATU NA MAKAZI 2012,NIMESHAHESABIWA!

By  | 
Karani wa sensa kashapita hapa kwangu leo asubuhi,nimeshahesabiwa.

5 Comments

 1. lily z

  August 26, 2012 at 3:16 pm

  hongera mamiii,mie bado ila nasikia unaulizwa maswali ya ajabu,eti una akili timamu?je unasikia vizurii??kaaa wats that then!

  nimefurahi kuona umerudisha blog vizuri dats lovely mwayaaa kusiliza ushaurii

 2. Anonymous

  August 28, 2012 at 10:36 am

  Dinah mbona huyu karani hajavaa sare maalum ya sensa 2012? Mh mimi nisingemfungulia mlango. Tena nahisi kuna watu wamelizwa na makarani wa sensa feki bado tu stori hazijatufikia wananchi….

  Mimi penda wewe Dina, naitwa Christine.

 3. Anonymous

  August 28, 2012 at 8:44 pm

  my Dear Dina mi nipo off topic,LAKINI NAHAITAJI MSAADA WA NAMBA YA MWALIMU WA KUOGELEA ,NAKUMBUKA ULIITOA HAPA WAKATI WEWE UNAJIFUNZA.TAFADHALI NISAIDIENI ANAYONE!!!!!!

 4. Anonymous

  August 29, 2012 at 6:49 am

  KWANI LAZIMA USEME UMEHESABIWA ACHA USHAMBA

 5. Anonymous

  September 5, 2012 at 10:05 am

  we anony agu 28,11:49pm,kama mtangazaji na pia mwandishi ana haki ya kuhamasisha wanainchi kwa kufanya hivi wengi wehamasika. unaoneka una hasira kama umekurupusha ebu tupishe kama huelewi mambo mweh! watu wengine mnakera

Leave a Reply