Uncategorized

UNAMKUMBUKA KAJOL?

By  | 
Mwigizaji wa bollywood wa muda na aliependwa sana Tanzania hasa wakati ule watu wakifatilia sana filamu za kihindi.
Akiwa na Shar Rhu Khan kafika filamu ya Kuch Kuch Hota Hai alijizolea mashabiki wengi sana.
 Kwa miaka mingi alipumzika kuigiza baada ya kuolewa na kuanzisha familia.

 Tarehe 24 february 1999 alifunga ndoa na mwigizaji mwenzake AjayDevgan.

 Tarehe 20 April 2003 wakabarikiwa kupata mtoto wa kike.

Mtoto wao wa kike Nysa  ana miaka 9 sasa pia ana mtoto mwingine wa kiume.
Kajol anatokea katika familia ya waigizaji,mama yake mzazi Tunuja nae ni muigizaji mkongwe amecheza filamu lukuki kadhalika bibi yake mzaa mama.

3 Comments

 1. Anonymous

  August 23, 2012 at 12:57 pm

  AHSANTE DM VER INTERESTED STORY!

 2. CHUYAM CHUYAE

  August 27, 2012 at 8:33 am

  i like tht

 3. Anonymous

  September 20, 2012 at 2:47 pm

  We should know exactly what we want in Life. I am happy for her. She has earned my respect.Stability katika familia ndio mwanzo wa furaha yenye kudumu katika maisha.( let me say that, I am not easily impressed, but I am impressed by this story. I wish I had an intelligent woman like her by my side.)

Leave a Reply