Uncategorized

WATU BILIONI MBILI WALITAZAMA KATIKA LUNINGA ZAO USAIN BOLT AKISHINDA MBIO ZA M100

By  | 
 Ni tukio ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu na dunia nzima iliyokuwa ikifuatilia michezo ya olimpiki mbio za mita 100 za wanaume.
 Kwa saa za Afrika Mashariki ilikuwa ni saa tano na dakika arobaini macho nilikuwa nimeyakodoa kwenye tv yangu nisipitwe.
 Usain Bolt kutoka Jamaica kwa mara ingine aliweka rekodi ya kukimbia m 100 kwa sekunde 9.63

 Manjonjo yake ya kushangilia baada ya ushindi.
Akiwa na mshindi wa pili kutoka jamaika pia Yohan Blake

1 Comment

  1. Anonymous

    August 10, 2012 at 10:28 am

    Napenda sana swagazako nihilo tu;

Leave a Reply