Uncategorized

ACTIVE CHEF RESTAURANT NYUMBANI TANZANIA!

By  | 
 Ni restaurant mpya ya Chef issa kwa wale ambao mmekuwa mkimtembelea kwenye blog yake ya mapishi mtakuwa mnamfahamu.Kama bado tembelea www.activechef.com
 Mwenyewe anasema……….WEWE NI MPENZI WA BLOG YA CHAKULA SAFI NA SALAMA NAKUOMBA CLICK HIYO LINK HAPO CHINI KISHA ITAFUNGUKA NA UNAWEZA KUJIUNGA KWA KU CLICK LIKE KATIKA UKURASA HUO ILI UWEZE KUENDELEA KUPATA RECIPE NA MATUKIO MUHIMU YAHUSUYO CHAKULA
BAADA YA KU LIKE UTAWEZA ONA PICHA MUHIMU NA RECIPE ZA RESTAURANT MPYA YA ACTIVE CHEF ILIYOFUNGULIWA NYUMBANI TANZANIA.

 Mpangilio wa sauce na salad na nyama za tayari kwa kuchoma.

Huu ni muonekano wakati wa usiku

8 Comments

 1. MOJAONE

  September 25, 2012 at 4:30 am

  DINA .. NDIO ILE CHEF ILIYOKUA PALE LUMUMBA ROAD KARIBU NA FIRE AU HII NI INGINE?

 2. Anonymous

  September 27, 2012 at 8:48 pm

  WELCOME BACK CHEF

 3. Anonymous

  September 27, 2012 at 8:48 pm

  Hehehehhee tujuzane ipo wapi hiyooooooooooo mhhhh

 4. Anonymous

  September 27, 2012 at 8:49 pm

  Huyu kijana kiboko bwana kwa mahanjumati

 5. Anonymous

  September 27, 2012 at 8:51 pm

  trust me chef iss is one of the national best chef na hana choyo kabisa anaroho ya kugawana elimu na wananchi kwa roho saaaaaaafi mhhh yaani we acha tu mwaaaaaaaaaaaa

 6. Anonymous

  September 27, 2012 at 8:52 pm

  INAKUWAAAAAAAAAAAAAAA MAHANJAM HANJAM

 7. Anonymous

  September 27, 2012 at 8:52 pm

  SASA HII IPO KIWANJA KIPI TUJUZANE BANDUGU

 8. Anonymous

  September 28, 2012 at 5:16 am

  i guess ipo mtwara maisha club nshaendaga na nikakuta the same mandhar kama kwenye pics.

Leave a Reply