Uncategorized

ANA MAPENZI NA MAGARI TUU NA SIO MWANAMKE!!

By  | 
Sijui ni wazimu au nikupagawa ?.Lakini Edward Smith Washington Marekani anasema yeye ni Mzima na akili zake.Edward Smith hana haja na mpenzi anayetembea kwa miguu miwili.Mmarekani huyo anasema sio hata hana hisia , anazo tena nyingi. Lakini sio kwa binadamu.
Edward Smith ambaye ni mtunzi wa mashairi ana fanya mapenzi na gari, kufanya mapenzi kwa maana halisi ya kufanya mapenzi . Smith anasema akiwa na hamu hufanya na gari kama vile nissan, pudjo, mercidez benz na vitu kama hivyo, lakini sio mtu.Shirika la habari la Reuters limeripoti kwamba kwa wakati huu Edward Smith anafanya mapenzi na gari lake jeupe la Volkswagen Beetle .
Usiniulize anafanya mapenzi vipi na magari. Mimi sijui.Lakini Edward Smith amefichua kuwa mara ya kwanza kufanya mapenzi na gari alikuwa na umri wa miaka 15, tena gari la babake aina ya Range Rover.
Na kwa yale mahaba aliyonayo kwa mpenzi wake wa sasa Volkswagen Beetle ambaye ameeishi naye kwa miaka mitano,amelibandika kipenzi chake jina la Vanilla.

6 Comments

 1. MOJAONE

  September 20, 2012 at 12:41 pm

  UNAJUA DINA WANA ELIM WANASEMA KUWA HUMU DUNIANI KUNA AINA 365.25 YA UJINGA AU WEHU MIE BINAFSI NAAMIN HILO, NA BAADA YA KURUDIA LIST HIYO NIMEGUNDUA KUWA UJINGA WA JAMAA HUYU NI NO200.

 2. MOJAONE

  September 20, 2012 at 12:42 pm

  UNAJUA DINA WANA ELIM WANASEMA KUWA HUMU DUNIANI KUNA AINA 365.25 YA UJINGA AU WEHU MIE BINAFSI NAAMIN HILO, NA BAADA YA KURUDIA LIST HIYO NIMEGUNDUA KUWA UJINGA WA JAMAA HUYU NI NO200.

 3. Anonymous

  September 20, 2012 at 3:37 pm

  Mh duniani kuna mambo jamani anafanya mapenzi na gari?????????????

 4. Anonymous

  September 21, 2012 at 7:51 am

  Hi Dina, mzima dear? pole na kazi na majukumu! well, nlikua nauliza kama by any chance you recorded kile kipindi cha Chris Mauki, alipokua akiongelea kuhusu athari za wanawake kuamua kupata watoto bila kuolewa (if I got it right).If yes, please naomba uiweke katika blog ili niweze kuisikia vizuri, because kiulweli nilivutiwa sana na hiyo mada ila sikupata muda wa kufatilia vizuri sababu ya kazi. Nitafurahi sana kama utafanya hivyo.

  Keep up the good work! Mi nakukubali sana. Sorry for being out of topic lol!

  Muki

 5. Anonymous

  September 22, 2012 at 2:10 pm

  Mdau hapo juu kweli kabisa! mi nataka niwasikilishe wanangu kama sehemu ya mafundisho!

 6. MOJAONE

  September 24, 2012 at 11:41 am

  NADHANI ANAINGIZA KWENYE EXZOZ YA GARI.

Leave a Reply