Uncategorized

INASEMEKANA DAVID BECKHAM NDIO MWANAUME ANAEPENDEZA KWENYE VAZI LA SUTI,DUNIANI!!!!

By  | 

Huu ni mtazamo wa watu huko Uingereza kuwa hawajawahi kuona mwanaume anaependeza ndani ya vazi la suti kama Beckham.Haya wanaume hapa bongo nani anapendeza akivaa suti?ngoja nifikirie halafu ntakuja kuwaambia.Ila najua kuna wanaume ambao si maarufu na wanapendeza mbaya wakivaa vazi la suti.

23 Comments

 1. Anonymous

  September 15, 2012 at 12:07 pm

  kwa kweli Dina hata hujakosea pia bongo atakuwepo anaependeza kama Beckham

 2. Mama Vince

  September 16, 2012 at 4:00 am

  Hahahahaaaa nmechekajeeeee..! Wazungu wana vi2ko jamani…..! Bt he z hawwwwwt na hako kamwl kake na hzo poz bas ndo kbsaaaa..! Bt kwa dunia nzmaa mmmnh I doubt… Wamefanya uchunguz nchi zote? Hapana bwana I thnk kuna more than that

 3. Anonymous

  September 16, 2012 at 9:00 am

  hata we ukija pia itakua ni mtazamo wako.

 4. Anonymous

  September 16, 2012 at 1:43 pm

  Dada Dina kuhusu ile hekaheka ya wiki iliyopita kuanzia jumatano nina njia ya kumsaidia yule kaka ni kupitia mtu aliyekua na story kama ya kwake na yeye amefanikiwa kutoka huko, nimeongea nae amekubali kumpatia huyo kaka msaada na ni wa ushauri zaidi wa kiroho (msaada wa kiroho zaidi, mimi ni mkristo), nilikua naomba mawasiliano na labda kama tunaweza tukajadili hili pamoja. Mimi ni Imani, mkazi wa Dar es Salaam. Email yangu ni imani_gal@ovi.com

 5. Anonymous

  September 16, 2012 at 2:23 pm

  DUNIANI?????? DUNIANI???? HAPANA ILA NI MIONGONI MWA WANAUME WANAOPENDEZA SN SN SN SN TENA SN NA SUTI HILO HALINA UBISHI

 6. Anonymous

  September 17, 2012 at 5:32 am

  Bongo hapa ni Mheshimiwa MKAPA, KOMBA, ngoja nifikirie wengine.., lakini hao wawili mwisho.., hakuna mfano, hata Beckham hawafikii..

  • Anonymous

   September 20, 2012 at 9:38 am

   me naona wanaume wote wasio na vitambi warefu ndio wanapendeza na suti, japo kibongo bongo wanaume wengi wanatumia suti kuficha vitambi, ila suti na kitambi haviendani, halafu suti haipendezi ikiwa over size. JK anapendeza sana na suti

 7. Anonymous

  September 17, 2012 at 7:16 am

  DINA MUME WANGU PIA ANAPENDEZA SANA AKIVAA SUTI

 8. Anonymous

  September 17, 2012 at 9:12 am

  Mume wangu pekee ndio anaependeza kwenye suti

  Sis V

 9. Anonymous

  September 17, 2012 at 12:02 pm

  EEEEEEEEeeeeeehhhhhhh!Hawajaona hao, mie mume wangu anapendezaga balaaaa huyo bwana hapo cha mtoto kwa vile hatuna platform na si masuper star ndio maana, wacha mchezo kuna watu wanapendeza na kuvitia jamaaaaani….

 10. Anonymous

  September 17, 2012 at 6:22 pm

  mume wangu anapendeza sana lol..

 11. Anonymous

  September 18, 2012 at 7:40 am

  Dina mume wangu pia anapendeza sana akivaa suti na si suti tu nguo zake zote kwa hilo sifa zake nampa. Nilisahau yupo hapa hapa bongo sidhani hata kama beckham anamfikia kwa kweli.

 12. Anonymous

  September 18, 2012 at 11:06 am

  out of topic kama kuna kitu kinanikera ni kwenye sherehe zetu bongo haswa harusini pale inapopigwa kwaito watu wakaanza kujipanga lile ligwaride yaani nakereka vibaya huwa natamani hata nitoke nakwambia kila mtu anataka amuonyeshe mwenzie ujuzi wa kucheza I hate it tena watu wamekazana eti ohhh south african style, wapi?? ile style ni ya wamarekani weusi walicheza miaka mingi iliyopita nadhani kwenye 60s jamaa kanibishia paka povu limemtoka nikaona nimuache nikajaribu kumwambia tafuta sinema inayoitwa my best friends wedding lol, bongo kingiiingia kitu ni shughuli nzito. ifike wakati tuache lkn naona siku hizi hata na wa mama wanajifunza hivyonaona bado iko sana tu na nitazidi kukerekea.

  • mashikolo

   September 20, 2012 at 11:17 am

   iishhhh

  • Anonymous

   September 21, 2012 at 11:33 am

   mweeee…..! sasa ndugu hupendi watu wakicheza ama? kama vp we unatoka tu nnje tartiiiiibu, unawaacha wapendao wanajiachia kiroho safiiii. kupitwa na wakati si sababu ya watu kuchukia kitu. kuna tatizo? hakuna tatizo….!!!!

  • Anonymous

   September 25, 2012 at 6:21 am

   hauko sawa kiakili bila kukosea lol

 13. Anonymous

  September 19, 2012 at 12:07 pm

  Ray kwa kweli nay anapendeza kwa mtazamo wangu.

 14. Anonymous

  September 19, 2012 at 12:46 pm

  heeeeee

 15. Anonymous

  September 20, 2012 at 7:37 am

  Hi DINA

  Vipi mbona kimyaaa au busy blog inaboha pls update.

  Siku njema.

 16. Anonymous

  September 21, 2012 at 7:59 am

  kwa kweli mume wangu ndio anapendeza na suti kuliko beckham na huyo jk wote weka pembeni km mnabisha niweke pic zake mumuone alaaaa chezea mume wangu weweeeeee

 17. Anonymous

  September 24, 2012 at 1:36 pm

  Vitambi ndio noma. Maana suti ili iweze kusitiri kitambi inabidi iwe over size…hapo ndo mziki. Unakuta bega limeshuka, kitumbo kimetokeza.

  Haku mume wangu anapendeza kwa kuwa yuko flat tumboni na ana kifua cha haja…

 18. Anonymous

  October 4, 2012 at 7:39 am

  mi naona amekuwa kwa dunia nzima kwa sababu yeye ana onekana sana kwenye mitandao, na mimi kama boyfriend wangu angekuwa naonekana sana mtandaoni na angekuwa maarufu na mchezo wake wa bao na karata pia angeonekana bomba dunia nzima katika vazi lake la kanzu

 19. Anonymous

  November 12, 2012 at 6:29 am

  mimi ndio napendeza

Leave a Reply