Uncategorized

KINA MAMA NA BIASHARA NDOGO NDOGO.

By  | 

Kama ambavyo kamera ya DM ilimkuta mama hapa akikaanga sambusa za viazi na kuziuza mtaani kwake.Sambusa moja tsh 100 pembenii kitu cha chachandu pale maisha yanakwenda.

4 Comments

 1. RUKY

  September 4, 2012 at 3:21 pm

  VIZURI KUJITUMA C KUJIBWETEKA AU KUSUBIRI KUHONGWA NA WAPENDA SANA KINA MAMA WA AINA HII???MMMMH DINA NIMRCHUNGULIA HUM NDANI MPAKA NIMEKOMA UNACHELEWA KWELI KUWEKA NEW POST… OK KAZINJEMA

  • MOJAONE

   September 7, 2012 at 3:20 am

   Ni kweli kabisa, hata ukicoment utaingia na kutoka elfu moja na moja ili tu kuona kama coment yako imening'ining'izwa.

 2. Ammy K

  September 5, 2012 at 8:42 am

  kidogo afadhali looh. za huko mwanza? wakinamama wa sasa hawalali wanafanya chochote ilimradi watoto wapate kula. kila la kheri kwao. hakuna kulala mpaka kieleweke.

 3. MOJAONE

  September 7, 2012 at 3:18 am

  Du!! Sambusa za viazi nazisikia na kuziona kwa mara ya kwanza, nitazitafuta ili nizionje.

Leave a Reply