Uncategorized

NILIPOKUWA SHINYANGA,NILIONYESHWA MADINI YA ALMASI.

By  | 
Huwa naona tu zikiwa tayari kwenye hereni au cheni zinauzwa lakini kabla sijawahi kuona.Shinyanga nikakutana na wauza madini wenyewe na mie nikayaona kama hivi na kupiga picha kama unavyojua mkoani humo kunachimbwa madini ya dhahabu pamoja na almasi.

Leave a Reply