Uncategorized

ROZAY BOSS NDANI YA FIESTA SERENGETI BHAAASSSSS 2012

By  | 
Najua kwa sasa unakuwa na hamu ya kuweza kumfahamu yule ambaye atawasha moto katika stage ya serengeti fiesta mwaka huu.Nakumbuka mwaka jana mtu mzima Ludacris alinukisha mbaya katika ile stage ya Leader club sasa habari nzuri  ni kwamba Rozay Boss au Rick Ross in da Fiesta serengeti tarehe 6 mwezi wa 10
  Sasa hapa ndipo tutaiimba naye hii chorus ya inayosema I’m not a star, somebody lied I got a chopper in the car
I got a chopper in the car
I got a chopper in the car haaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaa. yaani baridaaaaahh

7 Comments

 1. Mama vince

  September 29, 2012 at 3:26 pm

  Khaaaa nyie hilo lijitu mlilotulea jamani..! Mmeniuzijeeee..! Masista duuu na masharobaro kwshney habar yao hahahahahahahaha hapo full wagumu tu…! Me wakishapa4m wakna Diamond nasepa zangu mana hilo jituuu uwiiiiiiiiiiii…!

  • MOJAONE

   September 30, 2012 at 11:08 am

   UNISHTUE TUTOKE PAMOJA.

  • Anonymous

   October 1, 2012 at 8:02 am

   Hivi wewe unaangalia sura au kipaji mziki wa Rozay unaujua? nakusikitikia km ni kijana wa karne hii or otherwise ni mzee…fyuuuuu poleee we gona hav fan bhaaaaaaaas!!

 2. Anonymous

  September 30, 2012 at 3:35 pm

  FREEMASON SINGER !!

 3. Anonymous

  September 30, 2012 at 11:42 pm

  dada dina nakuomba utuwekee maelezo jinc yakuweza kuyapata mafuta ya ubuyu na sabuni yake nasikia ni mazui mafuta yake.samahn kwa usumbufu

 4. Mama vince

  October 1, 2012 at 10:26 am

  Umenchekesha kweli,poa usijali ntakutafta 2sepe wote kumbe na wewe sio mgumu hahahahahaaaaa @MOJAONE

 5. MOJAONE

  October 2, 2012 at 1:41 pm

  MUNKAR MTUPU BORA TUKAMALIZIE STAREHE ZETU MAENEO.

Leave a Reply