Uncategorized

UNATAKA MTU WA KUKUCHOMEA NYAMA HAPA HAPA DAR ES SALAAM??

By  | 

Huyu ni rafiki yangu ambae pamoja na kazi yake ya kila siku huwa anachoma nyama balaa.Ana kampuni yake inaitwa T BONAZ ni maalum kwa kuchoma nyama za aina zote,samaki,kuku,mishikaki na chochote.Kwenye event mbali mbali, nyumbani pia kama una kashughuli kako na unataka kufanya berbecue hawa watakufaa sana na bei zao si kubwa kabisa.Mpigie kwa 0684609944.Naomba radhi kwani picha hazipo kwa hali nzuri sana maana zilipigwa kwa simu ambayo haitoi picha clear.

2 Comments

  1. MOJAONE

    September 6, 2012 at 10:32 am

    NJAA INAUMA DINA

  2. Disminder orig baby

    September 7, 2012 at 10:43 am

    am imprsd!! nataka kuwa customer wake very soon. duh!!!!

Leave a Reply