Uncategorized

VITU AMBAVYO WANAUME HAWAPENDI KUTOKA KWA WENZI WAO!!

By  | 

Haya niliyapata kutoka kwa mshauri wa masuala ya mahusiano,ndoa na vijana Frederick Kyara.

1.Wanaume hawapendi kuambiwa cha kufanya na wenzi wao.
mwanamke unapotaka mwanaume afanye jambo usimwambie alifanye bali fanya kama una mpa ushauri.Kwamba John hivi kwa nini tusiweke balbu hapa kwenye korido maana kuna giza kweli.Badala ya hivi wewe John huoni hapa kwenye korido kuna giza balbu imeungua mwezi sasa hujabadilisha kwa nini?weka balbu bwana.Atafanya au asifanye kabisa kwa sababu umemwambia cha kufanya.

2.Wanaume hawapendi mwenzi mwenye makelele,mlalamishi.
Yeye ni kulalamika kuanzia jumatatu hadi jumapili.Japo wanawake nao wanasema kuna wanaume walalamishii balaaa.Na wenye gubu wanasusa kula mpaka kuongea wanawanunia wake zao mmmmh!

3.Wanaume hawapendi mwenzi mchafu.
Mchafu wa mwili wake na hata nyumbani kwenye suala la kutunza nyumba wanayoishi.Uchafu hufanya mwanamke apoteze mvuto.

4.Wanaume hawapendi mwenzi mbishi.
Japo na wanawake wanasema wanaume ndio wabishi zaidi.Utampa mwanaume  ushauri lakini haufanyii kazi ubishi mwingi.

5.Wanaume hawapendi kuamrishwa na mwenzi wao.
Mwenzi mbabe anaetoa amri na  kumtawala hawataki.

6.Wanaume hawapendi kuhisiwa hisiwa na kusachiwa sachiwa.
Kumpekua kwenye simu,mifuko ya suruali kwambaa unamulika mwizi.Hawapendi tena pengine hawajafanya jambo la kuwafanya wahisiwe vibaya.

Hizi ni baadhi tu nimekuwekea hapa japo kuna vitu pia wanawake hawavipendi kutoka kwa wenzi wao wanaume.

22 Comments

 1. Anonymous

  September 9, 2012 at 6:03 pm

  Hi Dina

  Ni kweli hayo aliyosema ila kwann baadhi wanapenda nuna hata unapomuelewesha vizuri kitu aelewi ila wao ndio wapo sawa siku zote.Kwa mfano utakuta anapigiwa simu usiku wa manane ukiuliza huyo nani kosa mnaanza kugombana ni kweli tutafika je hao hawara zao awawajulishi kama wameoa au awawekeani muda wa kupigiana simu?Na kitu kingine kuna baadhi yao upenda kuangalia simu za wake zao lkn wao zao zina pin kwann?so asitegemee aangalie simu yangu then mie yake nisiangalie au mtu anaenda kuoga anaenda oga na simu je ukimuuliza kunakosa?So mambo mengine wanajitakia pia anaweza kukupigia nipo saloon nanyoa nakuja usilale mke wangu Dina unakaa mpka saa sita usiku akija kalewa bwiii nimvumilie tu haaaaaaaaaa itakuwa ngumu kwa kweli.

  • Anonymous

   September 13, 2012 at 11:53 am

   NASHUKURU SANA DADA KWA KUFUNGUA MACHO HAO WENZETU WALIOLALA. Hawa wanaume wanaonyesha Upendo wakiwa karibu na wewe ila wakiwa mbali na wewe kutwa kukunyali. HEBU WANAWAKE WENZANGU FUNGUKENI. Mwanaume mwenye mapenzi ya DHATI NA YAKUJIHESHIMU HUWEKA WAZI MAMBO YAKE NA PIA HATOWEZA KUWA NA SHAKA HATA AKIMWILIKWA HADI KWENYE MACHO YAKE. Ambaye hajawahi kuumwa na nyoka mwache alale, ila ukweli ni huo. TUWACHUNGUZE ASIYETAKA BASI AVUNJE…….!By NAK

  • Anonymous

   March 15, 2013 at 8:18 am

   aksante sana dada kwan naaamin wanawake wamepata fundisho

 2. Anonymous

  September 10, 2012 at 1:41 am

  Dina mdogo wangu,Hapa duniani tupo tofauti sana aliyekuambia amefanya research wapi?au hayo ni maisha yake binafsi.Hatutakiwa kusemea ya watu ila tunatoa uzoefu wetu na maisha yetu ya ndoa kwa Ujumla. Na we jaribu ndoa utafurahia hakuna mfano,Maana misioni chochote kati ya uliyosema.

 3. RUKY

  September 10, 2012 at 9:01 am

  KITU KIMOJA KINACHOSHANGAZA WATU MPAKA KUFIKA KUOWANA INAMAANISHA MMESHA RIDHIANA NA KUJUANA YA KUTOSHA NAKUONA MWAWEZA KUISHI PAMOJA LAKINI CHA AJABU WATU WAKISHA OWANA NDIYO KILA MOJA ATAANZA KUTOA KASORO ZA MWENZAKE HAPO HASWA SISI WANAWAKE TUNA PENDA KUWA FEKI ILITU JAMAA ATANGAZE NDOA HAPO NDIYOMBINDE INAPOANZIA KWAKWELI USIKUBALI KUINGIA KWENYE NDOA UKIWA FEKI MWISHO WASIKU UNAANZA KULALA MIKA NDOA MBAYA…

 4. Anonymous

  September 10, 2012 at 3:55 pm

  YOTE YALOANDIKWA HAPO KILA BINADAMU HAYAPENDI ONE THING I KNO IS LOVE HAS NO PRINCIPLE, KM HESABU ETI UKITUMIA FORMULA HII UTAPATA JIBU NO WAY. KIKUBWA NI KWAMBA USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZIO HII BIASHARA YA MWANAUME SIJUI NINI ETI MWANAUME KM MTOTO WAT THE FU….K ILIKUWA ZAMANI

 5. Anonymous

  September 11, 2012 at 4:39 am

  wewe kama ni mwanaume wa ukweli kabisa utakubaliana na dina…

  haiitaji research wala paper wala masters wala phD..simple sana hizo reasons alizotoa!…

  Gluv!

 6. Anonymous

  September 12, 2012 at 4:28 am

  Dinadina.mie npo ndan ya ndoa mika kumi na moja.akija namsachi na cm yangu ina pini.akjileta amelewa ucku lazma aoge ajaoga alale chini.chakula akachukue mwenyewe na lazma anieleze alkua wapi!.dina wanaume ni kichwa kuuma.lakn nampenda mume wangu..dina hayo ni maisha yangu.na hayo mawazo haya work kwa mwanaume work.

  • Anonymous

   June 5, 2013 at 3:31 pm

   Duh we nouma kwel kama mume wako unampenda u know how to treat hm not da mater of princples nimekupenda aje!

 7. Anonymous

  September 12, 2012 at 10:44 am

  NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO WAY MY LADDIES! DUNIA IMEBADILIKA KINA MAMA, HAYO YA OOH USIANGALIE SIMU, OOH AKIRUDI USIMUULIZE, NI UJINGA UJINGA UJINGA KABISA, HAYO NDIO YAMETUZIKIA DADA ZETU WENGI TU NA UKIMWI, MAISHA YA SASA WANAWAKE HATUPENDANI KABISA, MTU ANAJUA KABISA HUYU NI MUME WA FLANI, BADO LINAJIBANA HAPO NA LENYEWE!! KHAA! JAMANI! WAKOOO? MBONA UNAJISHUSHA HIVYO, KWANINI USITAFUTE NA WEWE WAKO UKAANZA NAE HUKO CHINI MKAPANDA TARATIBU? UNASUBIRIA VYA WENZIO! SASA HAYA MAMBO YA OOH USIULIZE HIKI NA KILE NI UPUMBAVU KABISA, KAMA ANAKUPENDA ATAKUTHAMINI NA SIMU HAITAKUWA NA TATIZO LOLOTE. MAISHA YA NDOA NI KUPENDANA, KUHESHIMIANA, USAFI WA MWILI NA NYUMBA HILO NI NAMBA MOJA.. MAPISHI LAZIMA UJUE NYUMBA YAKO UNAIBADILISHA VIPI LADHA.., SIO KILA SIKU MAHARAGE TUUUU.. NA CHUMBANI AKIINGIA AKUTE UMETANDIKA VIZURI NA KUNANUKIA.. AKIJA KWA BI MKUBWAAAA HILI TENA SIKU NYINGINE.. LAKINI JITUME KAMA NDIO FIRST NIGHT.., SIO KIFO CHA MENDE WEEEEE MPAKA MENDE ATAZINDUKA..

 8. Anonymous

  September 12, 2012 at 8:10 pm

  Dina tunaomba no ya simu ya hiyo mshauri je tunaweza wasiliana Naye pls

 9. Anonymous

  September 13, 2012 at 5:41 am

  Dina kama umeniona vile! .. hayo yote ni ya kweli kabisa

 10. Anonymous

  September 14, 2012 at 8:31 am

  NI KWELI MIMI BINAFSI SIPENDI MKEWANGU ANISACHI

 11. Anonymous

  September 17, 2012 at 6:51 pm

  Wanaume hawapendi kuambiwa ukweli sikuzote .but .mimi lazma nimwsmbie .mpenzi .wangu .japo .anakasirika .mna wanajibweteka .sana then hakuna mabadiliko ys maisha .ukiogopa .kumwambia .mtaishi kwa shida tuwe wazi .wte wawili .

 12. Anonymous

  September 17, 2012 at 6:59 pm

  Bora kuishi kwa amani kuliko kulazmishs a .kuishi na mume

 13. Anonymous

  September 17, 2012 at 7:02 pm

  Wajifikirie .kwanza .mute namke ukifanyiwa wewe au yeye .unajisikiaje .majibu .utayapata .utakuta mwanaume anafanya Dakota mars nyingi .then .mwepesi kuonba msamaha .unamuweka .fungu .gani .

 14. ADASOPH

  September 19, 2012 at 10:24 am

  Yote hayo ni mtazamo wa kila mmoja,hakuna taratibu maalum katika maisha ya mahusiano na wala hakuna wowote juu ya hii mada. Mara nyingi mazingira ndio hupelekea mwenendo mzima wa maisha ya ki Bin Adam.

 15. Anonymous

  September 19, 2012 at 10:26 am

  s

 16. Anonymous

  September 19, 2012 at 6:41 pm

  Dina weka na ambazo wanawake hawapendi manake nao pia ni watu si malaika wa kuwavumilia wanaume tu!

 17. Anonymous

  September 20, 2012 at 10:25 am

  This a long time post ila nimependa sana. lazima lazima umlinde mwanamme wako , mchecki, kila mahali au la utaondoka na ukimwi.Wanaume kama watoto lazima wawe wanakumbushwa kumbushwa

 18. mecky28

  October 6, 2012 at 4:16 am

  yaliyosema ni kweli kabisa hata mimi binafsi nime kuwa nikikutana nayo na yamekuwa yakinikera sana nadani tatizo kubwa ni kutaka kujifanya nao ni wanaume au kujiami au dharau au hulka kwakweli sijajua nini chanzo maana hili si tatizo la mtu mmoja pekee wapaswa kuacha tabia hiyo na wapende kuishi kwenye position zao sio ujanja ujanja tuu mpaka wanatuogopesha kuoa waige kwa hao wanao itwa wife material

 19. Anonymous

  November 27, 2012 at 12:57 pm

  Mlolongo wote unamaadili lakini tatizo liko palepale. kwa ushauri a. kukiwa na usafiri wa wananchi unaokidhi haja b.miundo mbinu c.nyumba kupangiwa masharti ya bei ya kodi ya pango kwa wapangaji na wenye nyumba. Kutapunguza TAMAA ya kila bin fulani kutaka kuwa na gari au nyumba ambayo utaiacha na unaemwachia ataiacha. Mwisho Vijana wana tamaa zao lakini na wazee pia hutaka kuanza kuishi haraka kabla kifo hakijawakuta. WANAUME KWA WANAWAKE . UMEONA ENH

Leave a Reply