Uncategorized

YASEMEKANAYO KUHUSU MATITI YA MWANAMKE!

By  | 
Je? unafahamu kuwa matiti ya wanawake sio saizi moja? Kwa kawaida moja ni kubwa lengine ni dogo. Wanasayansi wanasema titi la kushoto kawaidi huwa ndilo kubwa kushinda la kulia. Lakini tofauti yao ni ndogo mno kiasi kwamba sio rahisi mtu kugundua utofauti  huo.
Sijui  kama unafahamu kuwa hata chuchu zenyewe za matiti zina tofautiana kwa ukubwa. Usihadaike ukaziona zote zimechomoka kifuani ukafikiri zinaelekea upande mmoja. La hasha! Chuchu moja inaelekea mbele nyengine upande kidogo
Matiti kwa kawaida ndicho kiungo muhimu katika mwili wa mwanamke inafahamika kuwa kiungo cha kwanza kuwa kivutio kikubwa kwa wanaume.
wanawake wanakuwa kivutio kutokana na matiti yao lakini mbali na kuwa kiamsho cha kufanya mapenzi pia matiti ndio kama alama ya uzuri wa mwanamke.
Unajua kwamba zaidi ya wanaweke milioni mbili Duniani hutengeneza matiti yao kwa kuyafanyia upasuaji au kuchoma sindano ili yawe makubwa.
Wanawake wanashauriwa kuvaa sidiria maalum(sports bra) wakati wa kufanya mazoezi ili kuzuia matiti kuuma.Wakati wa kufanya mazoezi kuna kukimbia,kuruka kamba ambayo huumiza matiti.
Wakati wa kulala inashauriwa ulale kiubavu ubavu na si kuyalalia matiti yako unaharibu umbo lake.Ukilala kwa style hiyo hakikisha unaweka mto ili usiyaumize.
Wakati huo huo Chuo kikuu cha Victoria University of Wellington nchini Uingereza, kimefanya utafiti na kubainisha kwamba kabla ya mwanamume kuangalia tabia, elimu au nasaba ya mwanamke wao hupiga jicho kwanza kabisa kifuani kuangalia kukoje? 
Haya,mimi nadhani utafiti huu ulifanyiwa wazungu peke yao, sio waafrika. Lakini ndio utafiti wenyewe huo.

 Ni utafiti wa chuo kikuu cha Victoria kilichoko Wellington, mjini London, Uingereza lakini sio kwa hapa Afrika.Hivi kwa hapa kwetu matiti yana nafasi gani wakati mwanaume unamthaminisha mwanamke?huwa yanazingatiwa sana kama kiungo kinachompa mvuto mwanamke?hapa naona wanaume wengi wanaangalia makalio.

13 Comments

 1. Anonymous

  September 27, 2012 at 11:48 am

  sio matiti tu,kila kiumbe cha binaadam,macho mikono,miguu pia havipo sawa

 2. Anonymous

  September 27, 2012 at 12:10 pm

  Kwelii mami yanatofautiana ukiangalia tuu unaona utofauti

 3. MOJAONE

  September 28, 2012 at 4:40 am

  SIO MATAKO WALA MATITI TU BALI KILA KIUNGO CHA MWANAMKE NI KIVUTIO KWA MWANAUME .. UKIANZIA NYWELE, MACHO KUNA YALE MACHO YA GOLORI AMBAYO HUWA YANAMPENDEZEHSA SANA M/MKE, KUNA ILE PUA NDEFU , KUNA ILE SHINGO YA TWIGA AU YA UPANGA, KUNA KIUNO PAJA, MIGUU, AINA YA KUTEMBEA HATA NAPLE NK.
  MWANAMKE ANATAKIWA AKAMILIKE IDARA ZOTE BILA KUSAHAU KAACOUNT KAKE BANK KAWE KAZITO ZITO.

  • Majoy

   September 28, 2012 at 11:37 pm

   Mojaone hujatulia kweli wewe….je kama acc yake haisomeki inakuaje?

 4. MOJAONE

  September 28, 2012 at 4:46 am

  KILA MWANAUME ANA MWANGALIO WAKE KWA M/MKE NA KILA MMOJA HUPENDA KITU AU VITU FULANI KWA M/MKE NA WAPO AMBAO MWANAMKE ANABAKI KUWA MWANAMKE ILI MRADI ANA UKE NA NDIO MAANA KARIBU WANAWAKE WOTE HUTONGOZWA.

 5. Anonymous

  September 28, 2012 at 4:58 am

  Lakwangu lakulia Ndio kubwa.

 6. BABA MBEMBE

  September 28, 2012 at 8:42 am

  Matiti CHECHE tu.MATAKO ndo kila kitu sio demu awe stick picture.Wenye matako yaan akidondosha nguo tu baaasi unapiga pre enjaculation.

 7. Anonymous

  September 28, 2012 at 2:16 pm

  Wanaume wa kiafrika wanapumbazika na makalio ndio maana wadada wengi walikimbiliakwa wachina. Matiti ndio lakini yana kipindi kifupi mno cha kubabaikiwa na wanaume, hii ni kutokana na mambo mawili kwanza yeye binti atayatanguliza weee yashikweshikwe. Pili ataviziwa akitiwa mimba nayo yanaanguka na akishazaa baasi hata yeye hayathamini hana nidhamu ya kunyonyesha kwenye daladala haayaa! Mimi binafsi makalio mama huwa niko hoi kabisa.

 8. Anonymous

  September 28, 2012 at 7:37 pm

  hata mie mwaya lakulia ndio kubwa kaaaaaaaaazi kweli kweli

 9. MOJAONE

  September 30, 2012 at 11:05 am

  MAJOY .. WE HUNA MJADALA YAANI IDARA ZOTE ZINAFANYA KAZI KIKAMILIFU UKIANZIA IDARA YA HAPO KIFUANI.

 10. MOJAONE

  September 30, 2012 at 11:06 am

  MAJOY .. KWELI SIJATULIA NA MNAONIBABAISHA NI NYIE.

 11. MOJAONE

  October 1, 2012 at 3:28 am

  HATA WEWE DINA HAPO KIFUANI KWAKO PAMETULIA, NI KACHUMBALI TOSHA.

 12. Anonymous

  September 2, 2013 at 10:20 am

  m miguu ya bia tu

Leave a Reply