Uncategorized

AJALI YAUWA 10 NA WENGINE 20 KUJERUHIWA

By  | 

Watu 10 hapo jana wamekufa papo hapo kwenye ajali iliyohusisha lori la mafuta lilofeli break na kusababisha madhara ya zaidi ya magari matatu huku watu 20 wakijeruhiwa akiwemo Mbunge Mary Mwanjelwa‏

 • lori la mafuta likiwa linateketea
 
 • Baadhi ya maiti katika ajali hiyo
 •  Magari yaliyoteketea

Hapa huwezi amini ni majonzi juu ya majonzi hatari juu ya hatari roli la mafuta linateketea kwa moto huku wezi wakiendelea kupora mafuta
 • Kweli watu tuna roho ngumu na kishetani badala ya kuokoa watu wanaokoa nafuta
 • Haya chacha

 • Ona wakaona haitoshi kuiba mafuta wakaanza kukwapua na vitu vingine kilicho mpata huyu atakisimlia peponi

5 Comments

 1. Anonymous

  October 6, 2012 at 11:51 am

  jamani Dina, unatu- disappoint unapoandika maneno kama gali,telemka,palamia jamani shida nini?hata kama ndio kauthirika na lugha mama basi kama hujapost commnt uliza kwanza watu wakaribu. Kumbuka wewe ni kioo cha jamii usitake tukahoji shule yako umishia kidatogani

 2. Anonymous

  October 10, 2012 at 7:21 am

  HIYO NI PRONOUNCIATION TU JAMANI!

 3. Anonymous

  October 15, 2012 at 12:44 pm

  Wacha kumtetea, Pronounciation iko mdomoni sio kwenye maandishi.

 4. Anonymous

  October 22, 2012 at 1:52 pm

  Kuthibitisha kuwa Dina hajipendei huyo anayepata wasiwasi na shule ya Dina amechapia balaa.

 5. Anonymous

  October 24, 2012 at 12:38 pm

  HAYO ANAYOSEMA DINA AMECHAPIA YAMEANDIKWA WAPI?LABDA WENGINE HATUONI

Leave a Reply