Uncategorized

PRE EVENT DINNER YA WOMEN IN BALANCE ILIVYOKUWA

By  | 
Ilikuwa pale Shekinah garden mbezi beach ambapo wahudhuriaji ni wale waliopata mwaliko haikuwa na kiingilio.Lengo ilikuwa kuelezea theme yetu ya safari hii,wadhamini wetu,wasemaji wetu na mengineyo mengi.

Aunty Sadaka  moja ya wasemaji watakaokuwepo siku hiyo.

Chriss Mauki mtaalamu wa saikolojia na mhadhiri msaidizi katika saikolojia ya jamii chuo kikuu cha dar es salaaam.Pia atakuwa nasi siku hiyo na atatoa somo linalosema namna utofauti wa jinsia unavyoweza kuathiri mahusiano na namna ya kuweza kuwa na mahusiano mazuri pamoja na utofauti uliopo.
Lizbet Marketing Manager wa Tsn Supeermarket ambao ndio wadhamini wakuu wa kitchen party gala ya safari hii akizungumza.
     

Asante kwa wote mliokuja lakini tusikose jumapili hii tarehe 21 pale diamond jubelee Vip halll.Kiingilio kikiwa ni Tsh 30,000 pata ticket yako mapema.Tickets zimeanza kuuzwa shear illusion mliman city ambapo ukinunua unapata kuchagua zawadi ya tsh 10,000,8020 Fahions sinza mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine mwenge Tra,Jackz cosmetics kinondoni…PIA mlioko mjini piga namba 0716485666

Kwa mnaonunua meza please fanyeni mapema maana mwisho wa kununua meza ni jumatano ya tarehe 18 kesho kutwa.
SHUKRANI za pekee kwa shekinah garden kwa kufanikisha women in balance kitchen party gala pre event dinner chakula kilikuwa kitamu sana.

4 Comments

 1. emu-three

  October 16, 2012 at 5:12 am

  HONGERENI

 2. Anonymous

  October 16, 2012 at 12:48 pm

  nadhani kama ingekuwa strictly ladies ningefurahi zaidi kwani hata wanasaikologia wanawake wapo, wakiwa wanawake pekee utawapa nafasi zaidi ya kushare na kufunguka, let it be a really kitchen party na sio biashara ya kula na kunywa, watu wakitoka hapo wafaidike na theme nzima sio kushiba tumbo. ni mtazamo wangu. ni idea nzuri.

 3. Anonymous

  October 16, 2012 at 6:22 pm

  Dina hebu soma hapo inasomeka zawadi ya tsh 10,000,8020 fashions……., mtu anaweza akaelewa ni zawadi ya milioni 10 sababu umeunganisha hiyo elfu 10 na 8020 fashions. Rekebisha kidogo ili watu wasiwe misled. Good day, mama Lulu

 4. Aunt J

  October 20, 2012 at 7:26 am

  kazi nzuri Dina fagilia mumu jmn ss sisi wa mikoan si ufanye mpango wa kuandaa me niko Arusha.

Leave a Reply