Uncategorized

DIAMOND NA WEMA SAWA NA CRISS BROWN NA RIHHANA

By  | 

Diamond na Wema Sepetu Sasa Damu Damu-Hivi Ndivyo Walivyosherehea Birthday Ya Diamond Jana

Na haya ni baadhi ya matukio katika picha yanayo onesha waziwazi kwa hawa jamaa they closey in did

 • Hapa wakikata keki
 • Wema anamlisha Diamond

Jana ilikuwa Sherehe ya Birthday ya Diamond Sherehe ilifanyika Damage Hotel Sehemu ya Pool Side….ilifana sana na hizi ni Picha baadhi zikionyesha Diamond na Wema kwa sasa kuwa Hali ni Shwari na Usishangae Siku ukisikia wako Pamoja Tena…Daahh hii Kama Criss Brown na Rihanna as na wao now wako katika Mchakato wa Kurudiana….Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
LINGANISHA HII NA HIYO CHINI 
= = = = = = = =
Wangalie sasa Criss Brown na Rihhana nao hapo siku chache kidogo zilizopita walivyokuwa huku ikitajwa kwamba yule dem wa criss ziku za nyuma amemwangwa kisa kikidaiwa kuwa asije kuumizwa na vitendo anavyofanya crss kwa rihhana.
Hapa Criss yuko na mpenzi wake wake Karrueche Tran ambaye criss amesema ameachana nae kabisa akiogopa kumuumiza kwa  sababu ya Rihhana
Hapa criss na rihhana

8 Comments

 1. Anonymous

  October 5, 2012 at 9:01 am

  Dina wema na diamond ni wapenzi, ila wanafanya siri watu asijue.

 2. Anonymous

  October 5, 2012 at 9:29 am

  leo kiswahili kimekuchenga u mx up r and l hope umepitiwa nimekukumbusha 2 usinunie bure

 3. Rida

  October 5, 2012 at 9:31 am

  mimi napenda sana wewe kweli ni wapenzi.. wanapendezeana

 4. Anonymous

  October 5, 2012 at 6:35 pm

  matubwa

 5. Catryn

  October 6, 2012 at 5:20 am

  True luv lasts forever, katika penzi kuna tambarare ,milima, mabonde then tambarare again but all in all tusiwe na tabia ya kufurahia na kuingilia mapenzi ya wawili wapendanao pindi wanapogomba coz the end of the day aibu inabaki kuwa yako! wishing to them best luck in their new luv!

  • Anonymous

   October 8, 2012 at 9:04 am

   Wanapendezana sana ila nawashauri wajiepushe na kuongea sana magazetini kwani yanawapotosha, waongee kwa yale tu yaliyo bora na wala sio kuropoka. Diamond juzi aliropoka eti mademu wenyewe ndiyo wanajigonga, huo ni ulimbukeni. Natamani sana Wema na Diamond watumike sana kwenye matangazao, pia ningewashauri waanzishe NGO watafanikiwa

 6. Rogers Ara

  October 9, 2012 at 1:31 am

  jamani watanzania tujifunze kuishi maisha yetu wenyewe tusiige ya watu wa nje tatizo diamond hakuna shule na wema ndu usiseme wangekua wamesoma yoote haya yasingetokea

 7. Anonymous

  October 19, 2012 at 12:13 pm

  mi nawashauri wajiepushe na marafiki wanafki, pia magazeti na waandishi wa habari, hivi hizi media hazina habari zingine ila kuzungumzia maisha ya watu!!!!??, yaani ukiwa maarufu shida usijambe, kila mtu atasikia ushuzi wako, tumechoka jamani kusikiliza habari za watu, tunataka habari ya kuelimisha jamii na kukosoa maovu katika nchi yetu.

Leave a Reply