Uncategorized

HAPPY BELATED BIRTHDAY MY DEAR GYVER.

By  | 
Jana ilikuwa bday yako my dear Gyver na ukaniambia kabisa lakini kichwa kimejaa nikasahau.Naamini sijachelewa sana kuku wish Happy Birthday to you.
Gyver ni top model hapa Tanzania na amefanya kazi za wabunifu wa mitindo wengi wa hapa nchini.Pia ni fashion Editor wa Bang Magazine,marketing manager wa bang magazine.
http://ellygyverlatrend.blogspot.com kwa mambo mbali mbali yahusuyo mitindo na fashion kwa ujumla.
 Wish u the best ma kwenye kazi na mishe mishe zako zote za maisha..love you!

2 Comments

 1. Anonymous

  October 15, 2012 at 12:52 pm

  JAMANI HUYU SI JAMILA LEO AMEKUWA GYVER TENA MWEEE.

  • dinamariesblog

   October 15, 2012 at 1:14 pm

   HUYU NI GYVER DADA…UTAKUWA UMEJICHANGANYA!

Leave a Reply