Uncategorized

HIVI NDIVYO THE BIG BOSS RICK ROZY ALIVYOTUA JANA .

By  | 
Meneja wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross mara baada ya kuwasili usiku huu ndani ya uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake pichani nyuma,kati ni Oparesheni Meneja wa Prime Time Promotions Ltd,Balozi Kindamba ambao ndio waratibu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalotarajiwa kufanyika hapo kesho
 Rick Ross akitoa salamu ya salut kwa washabiki wake waliojitokeza usiku huu (hawapo pichani) kumlaki


                                Rick Ross akiingia ndani ya mchuma.

 Operesheni Meneja wa Prime Time Promotions,Balozi Kindamba akiwaongoza wageni wake kuelekea kwenye gari tayari kuondoka kuelekea kwenye hoteli waliopangiwa kufikia usiku huu,Shoto ni Rick Ross na akiwa na baadhi wanamuziki wenzake aliombatana nao .
Rick Ross akiondoka na mchuma wake kuelekea hotelini usiku huu.

Mmoja wa mashabiki wa Rick Ross aliyezua tafrani kiaina akijifananisha na Rick Ross akizungumza na na baadhi ya watu waliojitokeza kumlaki katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere.

2 Comments

  1. RAKKY

    October 6, 2012 at 7:21 pm

    HIVI BONGO NA WANABLOG ZA KIBONGO KWANINI KARIBIA WOTE MWAPENDA KUTOA HABARI MOJA, PICHA NAZO NI HIZO HIZO TATIZO LIPO WAPI? KWANI LAZIMA KILA MTU ATOWE HABARI ZA KUFANANA WOTE MBONA MNATUVUNJA MOYO WAKUINGIA HUMU SASA AAAAA NIMIVUMILIA WEEEEEEEEEE LEO NIMEONA WACHA NISEME KHAAAAAAA KUPITIA KWA KWAKO

  2. Anonymous

    October 9, 2012 at 5:28 pm

    hapo umenena mdau umeninyanganya maneno mdomoni yaani siku zoote mimi huwa najiuliza hivi hakuna blog tofauti ambazo habari hazifanani sana

Leave a Reply