Uncategorized

HIVI NDIVYO THE BOSS HIMSELF ROZZY ALIWADATISHA WABONGO KATIKA TAMASHA LA FIESTA.

By  | 

Hii ndiyo nyomi iliyofika leaderz kumuona rozzy.

Rick Ross.

.
 Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rick Ross akiimba jukwaani  usiku wa juzi mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar na vitongoji vyake kwenye viwanja vya Lidaz Club.

.

.

.

.

.

2 Comments

  1. emu-three

    October 8, 2012 at 12:15 pm

    Haya tupo pamoja mpendwa,na hiyo kidole juu, ni ishara ya hawo ndugu zetu?

  2. Anonymous

    October 8, 2012 at 1:24 pm

    Duh! na hiyo picha ya mwisho no maelezo mbona? angalieni watu mnaowaleta jamani uuuuuuuuuuuuuuwi!

Leave a Reply