Uncategorized

JOKATE MWAGELO AZINDUA LEBO YAKE YA NYWELE ZA KIKE

By  | 
 Ilikuwa jana pale Serena wakati mwana dada Jokate Mwagelo kupitia lebo yake ya KIDOTI alipozindua, bidhaa
yake mpya ya nywele.Baada ya kupata mtaji wa kiasi cha
shilingi milioni 40 ameweza kufanikisha ndoto yake ya muda mrefu ya
kuanza kutengenza bidhaa hiyo ya nywele ambayo itatengenezwa hapahapa
nchini. Sehemu ya faida ya biashara hii itatumika kusaidia wasichana wa Ruvuma.
 Warembo wakiwa wametengeneza style mbali mbali za weaving za kidoti.

14 Comments

 1. Anonymous

  October 11, 2012 at 10:14 am

  Hongera Jokate… Ila nikiangalia hao warembo hapo juu, nywele zinaonekana zimekaa ki-party zaidi. Hakuna ambayo imekaa kikawaida sana ambayo kwa sisi waajiriwa (hasa wa serikali) ukiingia nayo ofisini, utaonekana wa kawaida, sio kama unatoka out au umejipodoa sana

 2. cartace edson

  October 12, 2012 at 5:21 am

  its good idea.big up mdada

 3. Anonymous

  October 12, 2012 at 6:49 am

  nice..

 4. Pam

  October 12, 2012 at 7:41 am

  zitapatikana wapi tumpe sapoti kidot??

 5. Anonymous

  October 12, 2012 at 6:12 pm

  umetisha Jokate but what about bei?kibongobongo 2naweza kuimudu wote?

 6. Anonymous

  October 12, 2012 at 8:46 pm

  Zinapatikana wp jmn?zinaonesha nzur

 7. RUKY

  October 13, 2012 at 12:13 am

  YAA C MBAYA KATHUBUTU…..

 8. ESTHER NYALUSI

  October 13, 2012 at 1:11 pm

  HONGERA MDADA

 9. ESTHER NYALUSI

  October 13, 2012 at 1:12 pm

  HONGERA MDADA

 10. Anonymous

  October 15, 2012 at 12:59 pm

  Hongera Jokate, na nimependa idea ya kusapoti Ruvuma. ni kweli tupo katika ramani ya Taznaznia lakini maendeleo kidogo yamekuwa nyuma nadhani kupitia project yako kama mwanaruvuma uliye pata maendeleo utawavuta na wengine kiroho safi. Big us sana Jokate.

 11. Anonymous

  October 16, 2012 at 10:30 am

  Well done Jokate, wish you all the best in your business – kulikoni wenye kujianika uchi majukwani kila leo!!!!!

 12. Anonymous

  October 16, 2012 at 6:31 pm

  Hongera zake Jokate, ila Dina nadhani anaitwa Jokate MwEgelo sio MwAgelo. Hongera pia Dina kwa blog nzuri inayotuhabarisha mambo mbalimbali. mama Lulu

 13. Anonymous

  October 22, 2012 at 7:19 pm

  Hongera sana, ni hatua nzuri, good vision snd creativity.

 14. Anonymous

  December 12, 2012 at 6:48 am

  Hongera sana Jokate, its a nice step.

Leave a Reply