Uncategorized

KILA MSEMAJI WA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA ALIKUWA NA UTAMU WAKE

By  | 
 Getrude Mungai(Life Style Designer of Sex and Relationships)alitoa masomo matatu…kwanza aliingia kutoa intro ili kina dada na kina mama wamjue yeye ni nani maana alikuwa msemaji mgeni kutoka Kenya.

Chriss Mauki somo lake lilihusu tofauti za jisinsia huyu kuwa mwanamke na yule mwanaume inavyoweza kuathiri mahusiano.

Aunty Sadaka alizungumzia Mwanamke anaemuonea fahari ni yupi?kumbuka theme yetu ta safari hii ilikuwa mwanamke kuwa mfano.

 Mama Victor alimuongelea mwanamke wa mfano ni yupi?ukifa leo hii utakumbukwa kwa lipi?kila unapoenda unaacha kielelezo gani?unazungumza vizuri?mfano kwa familia,mume au mpenzi,wafanyakazi wenzio na jamii kwa ujumla.

Picha ni nyiiingi sana kwa kweli endelea kuangalia utaziona zaidi..

3 Comments

 1. Anonymous

  October 25, 2012 at 10:42 am

  Kweli mm ni mmoja it ya wahudhuriaji wakuu kwenye hii kitchen party gala ila safari hii kwajinsi utaratibu haukuwa Mzuri sana kwakuwa walionunua meza ndio walipewa kipaumbele zaidi na ambao hawanunua meza walibaguliwa sana Kama watu walikuja bure bila kutoa hela bwana wengi hawakupenda kbs.
  Ushauri. Next time hakikisha unauza kazi kwa number maana mtu wa Kwanzaa kununua card alafu unamkalisha Nyuma kwakweli sio pia itakisaidia wewe kujua unawatu wangapi ili uweze kuandaa mahali pazuri pa kukaa.

 2. Anonymous

  October 30, 2012 at 10:10 am

  DINA HONGERA SANA KWA MAANDALIZI MAZURI.KWA KWELI MDAU HAPO JUU AMEONGEA KITU CHA KWELI.HAKIKISHA NEXT TIME.KILA KITI KINA NO.ILI MTEJA ANAPONUNUA TIKETI IWE IMEWEKWA NO.NA WANAONUNUA MEZA,KADHALIKA WATAPEWA NO KWA HUO MFULULIZO.SISI WANAWAKE WOTE NI SAWA.HAKUNA KUBAGUANA KWA STATUS.NINGEPENDEKEZA PIA KILA GEZA IPINGWE PICHA ILI KILA ALIYE SHIRIKI AWAZE KUONEKANA.ILA WOMEN IN BALANCE ILIKUWA NZURI NA ULIJITAHIDI SANA KUIANDAA.HONGERA SANA DINA!

 3. Anonymous

  December 6, 2012 at 8:47 am

  Dina i like the way you dress…so elegant and cute…if you know what i mean

Leave a Reply