Uncategorized

MWANAUME ASHITAKIWA KWA KUMFUNGA KUFULI MKEWE UKENI

By  | 

Mwanamke Sitabai Chouhan akiwa hospitalini.

 SIKU ambayo mwanamke Sitabai Chouhan alipolazwa katika Hospitali ya
Maharaja Yashwant Raoin huko Indore, India, kwa jaribio la kutaka kujiua
kwa kunywa sumu ya panya, ndiyo siku manesi walipogundua kwamba
mwanamke huyo alikuwa amefungwa kufuli dogo kwenye mlango wa sehemu zake
za siri.

Mume wa Sitabai, Sohanial Chouhan.

 Mume wake aitwaye Sohanial Chouhan (38) alifikishwa polisi baada ya
kugundua kwamba alikuwa ana tabia ya kumfunga kufuli mkewe sehemu hizo
kwa muda wa miaka minne kwa madai kwamba asingefanya hivyo angekuwa
anatembea nje ya ndoa.
Imegundulika kwamba Chouhan alianza
kumwenyesha mkewe madawa ya kulevya na kisha akatumia sindano kutoboa
matundu sehemu zote mbili za mlango wa uke wa Sitabai kisha akaweka
kufuli dogo ambalo alilifunga kila asubuhi akienda kazini, na kulifungua
wakati anaporejea.


Katika uchunguzi  huo, polisi waligundua ufunguo huo ukiwa umefichwa kwenye soksi zake.
Kisa cha mama huyo kujaribu kujiua kwa sumu ni pale alipogundua kwamba
mumewe alikuwa anamtongoza binti yake wa kwanza ili afanye naye mapenzi.

Mwanamme huyo ambaye ni makenika  na aliyemwoa mkewe akiwa na umri wa
miaka 16 na sasa wakiwa na watoto watano, alifunguliwa mashitaka ya
kudhuru mwili.

6 Comments

 1. Anonymous

  October 24, 2012 at 9:28 am

  Duh kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni!!!! Watu wana wivu lkn huyu jamaa ame-exceed limit, KUFULI!!!!!!!
  sasa mbona hakufunga na nyuma kama yeye ni mwanaume kweli??? Mpumbavu saaana huyu jamaa!! Mimi ni mwanaume lkn huyu muhindi hana akili na hafai kabisa ktk jamii.

 2. Anonymous

  October 24, 2012 at 10:15 am

  Ukatili uliopitiliza!!!

 3. RUKY

  October 24, 2012 at 10:15 am

  MAKUBWA KWELI HII DUNI SIJUI INAELEKEA KUMBE DUNIA KUNA WATU WANYA NAMNA HII..VIPI DINA KULIKONI MAPKA LEO HUTAKI KUTUWEKEA PICHA CHA KITCHEN PARTY/G? TUNAZIONEA HUKO MTAA WA PILI TATIZO LIPO WAPI? MIE NAPENDA NIKUONEE HAPA….JAMANI

 4. MOJAONE

  October 24, 2012 at 10:23 am

  WANAWAKE WENGINE NI KATA MTI PANDA MTI WANASTAHILI KUFULI KAMA HILO.

 5. Anonymous

  October 24, 2012 at 10:34 am

  wanawake wafundishwa haki zao katika ndoa hilo ndio suluhisho.. huu ni ukatili sio mapenzi

 6. Anonymous

  October 25, 2012 at 10:32 am

  huyo jamaa mwendawizimu kbs… kuna nat zinamiss kbs… ona lenyewe limetamani mwanae… si mzima kbs. imezidi unyama

Leave a Reply