Uncategorized

NAPENDA KUTOA NAFASI HII KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA….

By  | 
WADHAMINI wangu wa nguvu Tsn supermarket kiukweli wamenipa sapoti ya kweli mpaka nashindwa nisemeje.Kina dada au mama endelea kutembelea matawi yao yaliyopo mikocheni baraka plaza,upanga,bamaga na tegeta kwa mahitaji mbalimbali.  Clouds fm radio team nzima ya power breakfast ikiongozwa na Gerald Hando,Seba Maganga(pm),Sheba Kusaga,Rose Nyanje,Joyce Shebe,Asma Makau na Gea Habib.
Nawashukuru sana Bloggers wenzangu blog zifuatazo
www.8020fashions.blogspot.com
www.kajunason.blogspot.com
www.michuzijr.blogspot.com
www.misspopuler.blogspot.com
www.adeladallykavishe.com
www.homezdeco.blogspot.com
www.modewji.blospot.com
www.mjengwa.blogspot.com
duhhhhh ni nyingi sana mpaka nyingine nimezisahau.Nawashukuru sana I view media kwa my bro Raque kwa kazi ya atwork kwa ujumla,Mawesu printers walioprint billboards zangu.Shekinah garden walitupa nafasi ya kujumuika nao katika pre event dinner kule mbezi Makonde.
Skylite Band kutoka kwa my bro Sebastian Ndege,Zamda Geogre kwa kutubunia nguo nzuri toka tunaanza kupiga picha za theme mpaka wadada walikuwa wakitoa huduma siku ya event.Marafiki zangu wote ambao nilikuwa nikiwasumbua kwa hili na lile nawashukuru sana Janet Matola mweee sijui ningewezaje bila wewe, na Asma Makau.
Katika shughuli yoyote hakukosekani mapungufu tuliyaona na tunatarekebisha kwa ajili ya wakati ujao.
MATARAJIO
Mwakani mambo mengi yatabadilika sana kulingana na maoni na mahitaji yako mdau wa kitchen party gala.Mikoani pia tutafika tunaanza na Arusha tarehe 10 mwezi ujao itakuwa jumamosi pale tripple A kwa kiingilio kile kile cha 30,000.Mwezi december tutakuja Mwanza.Kama unataka kudhamini kwa namna yoyote ile unakaribishwa.
Kwa niaba ya my patner Vida Mndolwa ambae kipindi hiki hakuonekana alikuwa ameenda kujifungua mtamuona mwakani.Tunasema Asante sana kwa wote kwa kufanikisha hasa wewe uliyekuja.

22 Comments

 1. Anonymous

  October 25, 2012 at 1:53 pm

  Hongera sana Dina, na ahsante kwa sisi kina mama.me binafsi niliipania mpk nikashindwa kuja japo nilikuwa na kadi yangu mkononi mambo yalikuwa mengi yakaingiliana i hope next time nitakuja, ila nilimic vingi jamani Mama Getrude tu looh, namsikiaga kwy kipindi chake mama ni mzuri huyo kwa mada tu, Mashaalah!! bac tena ndo ishapita.
  Ubarikiwe sana Dina!!!
  Florah (Mama Mario)

 2. Anonymous

  October 25, 2012 at 6:20 pm

  UWEIIIIIII UMERUDIA TENA UNENE AU MACHO YANGU? PENDEZA SANA

 3. RUKY

  October 25, 2012 at 6:23 pm

  DINA WEWE NI MUUNGWANA NA MWENYE HEKIMA SANA IM SURE YR DADY ATAKUWA VERY PROUD JUU YAKO.. MI PENDA SANA WEWE,HUNA TATIZO NA MTU WALA MAKUU..

 4. mama Glory

  October 27, 2012 at 7:49 am

  hongera sna my dear shughuli ilipendeza sana, mwakani sitakosa Mungu akituweka hai

 5. Anonymous

  October 27, 2012 at 8:38 am

  kumbe ndio ulivyo, mhhhh

 6. Anonymous

  October 29, 2012 at 9:27 am

  Pole sana dada dina ndio ukubwa huo vumilia tu baadae utasahau tuwekee basi picha au una majonzi POLE dada unajua arnod kayanda hakua muazi kwako ndio maana kakuacka solemba usijali utapata mwengine mwenye mapenzi ya kweli pole dada dina

  • dinamariesblog

   November 1, 2012 at 5:37 pm

   usilolijua litakusumbua….pia nisawa na usigu wa giza!

  • Anonymous

   November 2, 2012 at 4:51 pm

   Sijaelewa huyu anonymous hapo juu ana maanisha Anord alikua anatembea na Dinna? Mmhh makubwa haya

  • Anonymous

   November 4, 2012 at 9:39 am

   Seems you have nothing to do with your life,little advise Love God, love your neighbour,love yourself. With that the negativity will surely leave you.

 7. Anonymous

  October 29, 2012 at 11:12 am

  wewe hata ukibania coments zangu poa tu na nitakupa pole tu pole dada dina ndio ukubwa huo Usihuzunike

 8. Anonymous

  October 30, 2012 at 10:54 am

  hongera mama uko juu sana Dinna

 9. Anonymous

  October 30, 2012 at 12:20 pm

  huna lolote wewe kuringa tuu

 10. Anonymous

  November 1, 2012 at 12:59 pm

  mbona sijamuona partiner wako vida nasary????

 11. Anonymous

  November 2, 2012 at 9:42 am

  Nakupongeza kwa jitihada zako nyingi unazofanya za kuinua uelewa wa wanafamilia hasa wakina mama kwa lengo la kufanya maisha kuwa ni tunu ya kufurahia badala ya mkosi. pia kuamsha mshikamano wa wanandoa katika kuhakikisha heshima ya taasisi ya ndoa inarudi mahali pake pale ilipokuwa zamani. ninachokuomba kwa kuwa c wote wanawezahudhuri "events" unazoandaa, nashauri uwe unazirekodi na kuzisambaza ili sehemu kubwa ya jamii ipate kujifunza kupitia CD hizo. Jinsi utakavyokuwa unasambaza itategemea na mipangilio yako. hopekyara@yahoo.com

 12. RUKY

  November 2, 2012 at 6:22 pm

  OVYOOOOO KAMA KAACHWA KIPI CHA AJABU? KWANI YEYE WAKWANZA KUACHWA? AU KAZALIWA NAE HUYO MWANAUME AU YEYE C BINAADAMU? OVYOOO NA KWANI WEE INAKUHUSU NIN KWANI HAPA KUNA MADA YA NANI KAACHWA NA NANI? YOTE HAYO NI MAWIVU NA TAFUTA KAZI YA KUFANYA NA UWE BUSY HUTO PATA MUDA WA KUMUWAZIA MWANA WA MWENZIO… DINA KWENYE MAFANIKIO UTASINGIZIWA SANA SASA HIVI UTAAMBIWA UMEIBA MUME WA MTU..ENDELEA NA BUSARA ZAKO ACHANA NA WENYE KUKATISHA TAMAA…

  • Anonymous

   November 24, 2012 at 11:39 am

   Kweli kabisa,badala ya kusifia tukio na kueka hata ushauri na saa kwa watu,yeye anaweka mada yake tofauti,hata amekosa aibu,bora hata na wewe umejitokeza maana jamani wanadamu kwa kusema utadhani waliambiwa kuna vyeti.

 13. Anonymous

  November 29, 2012 at 1:43 pm

  kwenye mafanikio hapakosi maneno. keep on doing! kazi safi, naungana na mdada hapo juu. wengine uwezo wa kuja umetupiga chenga. tungepata CD ingekua poa. fanya mpango wa hiyo kitu mama. be blessed and God protect u love

 14. Anonymous

  December 6, 2012 at 11:35 am

  DINA WAJUZI WA MAMBO (KINA ANTONIO NUGAS) WANASEMA HIVI "MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPIGWA MAWE" UKIKUTA MWEMBE PALE UMECHANUAAAAA MATAWI YAKE YAMEKAA VIZURI HAUNA ALAMA ZA MAWE WALA MATAWI YAKE KUKATIKA, HALAFU UKAKUTA MWEMBE MWINGINE PEMBENI YAKE UMECHOKA, MATAWI YAMEVUNJIKA VUNJIKA, MAJANI YAMEPUKUTIKA CHINI, UNAALAMA NYINGI ZA KUJERUHIWA, JE WEWE UTAHISI NI UPI UNAOZAA MATUNDA MAZURI NA YA MATAMU? JIJIBU KISHA JIFANANISHE MAISHA YAKO KWA SASA. KEEP ON FIGHTING MAMITO..
  GUD DAY DINAH…

 15. Anonymous

  December 7, 2012 at 6:00 pm

  Mtu yeyote mwenye wivu hapendi maendeleo ya mtu! we unayedai Dina kaachwa inakuhusu nn! yaani yaonyesha wazi kabsaa unavyokerwa na maendeleo ya mwenzio! Dina mdogo wangu, wengi tunakupenda sana ingawa si watoaji wa comment, me nakupenda ulivyo na uchakarikaji wako, wajinga km huyo wasikusumbue kichwa, huna roho mbaya na mtu, mwache aendelee kukuchukia kwani hajui kuwa ankufungulia milango ya baraka, endelea kuwaombea adui zako ili waishi miaka mingi waje washuhudie mafanikio yako, Mungu akitupa uzima cku nikija Tz lazima nikutafute

 16. Anonymous

  December 11, 2012 at 11:50 am

  HIVI LAZIMA MTU UCHANGIE KAMA HUNA LA MAANA BORA UKAE KIMYA KILIKO KUCHANGIA UJINGA KAMA HUO INAKUHUSU NINI DINA KUACHWA KWANI ALIKUTANGAZIA KAMA YUKO NA NANI NA HAPA DINA ALIKUWA AKITOA SHUKRANI ZAKE UJINGA WAKO TUPIA HUKO WAHEGO DINA KEEP IT UP!

 17. LUNAR

  December 29, 2012 at 8:02 pm

  DINA HONGERA KWA KAZI NZURI.

 18. Anonymous

  September 9, 2013 at 11:14 am

  pole ndo ukubwa

Leave a Reply