Uncategorized

PACO DECOR NDIO MPAMBAJI RASMI WA KITCHEN PARTY GALA JUMAPILI YA TAREHE 21

By  | 
 Paco Deco ndio kuwa mpambaji rasmi wa women in balance kitchen party gala tarehe 21st october itakuwa jumapili ya wiki hii.Safari hii tunakwambia mwanamke kuwa mfano.Zifuatazo ni kazi za Paco deco sio wapya sana katika fani hii ya mapambo ila kazi zao nzuri kwa kweli.Ukivutiwa hata wewe unaweza kuwatafuta wapendezeshe shughuli yako yoyote ile kwa namba 0652909311

 Mambo ya Bustanini hayo….

Tusikose jumapili hii tarehe 21 pale diamond jubelee Vip hall.Kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.Kiingilio kikiwa ni Tsh 30,000 pata ticket yako mapema.Tickets zimeanza kuuzwa shear illusion mliman city ambapo ukinunua unapata kuchagua zawadi ya tsh 10,000,8020 Fahions sinza mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine mwenge Tra,Jackz cosmetics kinondoni…PIA mlioko mjini piga namba 0716485666
Kwa mnaonunua meza please fanyeni mapema maana mwisho wa kununua meza ni jumatano ya tarehe 17 keshohiyo.
Wasemaji wa Women in
balance kparty gala tarehe 21 october
1.Aunty sadaka
psychologist
2.Mama Victor motivation speaker
3.Chriss Mauki social and counseling psychologist
4.Getrude Mungai
sexiologist kutoka Mombasa Kenya

Sponsored by
Tsn supermarket
Cocacola
Sossi
clouds fm.   

5 Comments

 1. Anonymous

  October 16, 2012 at 1:47 pm

  jaman Dina ni hapahapa TZ au ulaya, i cant belive ma eyes, kama ndo hivi si mchezo kumbe tunaweza, so lovely asee

 2. Anonymous

  October 17, 2012 at 5:53 am

  PLZ nisaidie kama nitakuwa nyumba nikutaka kujua Je tunaruhusiwa ambao hatujaolewa. plz nijibu by dianrose wa Mori

  • dinamariesblog

   October 17, 2012 at 6:32 am

   HII NI KWA WASICHANA NA WANAWAKE WOTE…KUANZIA MIAKA 18.

 3. Anonymous

  October 24, 2012 at 1:08 pm

  very nice Dina, mmebuni kitu kizuri sana nimekipenda
  next time nami nita hudhuria!!!

 4. Anonymous

  February 18, 2013 at 2:00 pm

  Dina je ukitaka mpata paco inakuaje….nijib jaman

Leave a Reply