Uncategorized

UJUMBE WA KUWA KITCHEN PARTY GALA YA SAFARI HII USIKOSE UNAUPATA KILA MAHALI.

By  | 
Kwa huduma ya printing za aina zote mpaka kazi za mabango waone MAWESO DIGITAL PRINTING ni ya hapahapa nyumbani Tanzania.Wapigie simu 0768000002,0713562116
Hawa ndio walihusika na kuprint haya mabango.

 Pata ticket yako mapema tickets zimeanza kuuzwa shear illusion mlimani city ambapo ukinunua unapata kuchagua zawadi ya tsh 10,000 pia 8020fashions sinza mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine mwenge Tra,Jackz cosmetics kinondoni wanatoa na ofa ya kuchagua zawadi yoyote….PIA mlioko mjini piga namba 0716485666.Ticket ni tsh 30,000.

Kwa mnaonunua meza please fanyeni mapema maana mwisho wa kununua meza ni jumatano ya tarehe 18 kesho kutwa.

 Imedhaminiwa na Tsn Supermarket,cocacola,sossi na clouds fm

Tunazungumza mengi kuhusu mahusiano,familia,ndoa na yanayomhusu mwanamke kijamii kwa ujumlakaribu sana.Itakuwa Diamond jubelee VIP hall kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku tafadhali muda uzingatiwe.

3 Comments

 1. RUKY

  October 16, 2012 at 11:04 am

  DONT MISS JAMANI MLIYOPO BONGO.. MI WAMBALI NAITAMAINI KWELI!!!!

 2. Anonymous

  October 18, 2012 at 12:34 pm

  Mambo dada, Hongera kwa kazi nzuri na elimu unayotupatia. Mimi nimekuwa napita kwa blog yako kila siku, nahitaji ushauri wako wa kijasiriamali… Nataka nifanye biashara ya nguo za watoto na kina dada tu toka nje ya nchi.. natafuta mtu mkweli na mwaminifu wa kunipa maelekezo ya jinsi ya kufanya nikifika China / Hongkong, na je natakiwa kuwa na mtaji wa sh. ngapi labda. Please nisaidieni mwanamke mwenzenu hasa ukizingatia tunatakiwa tuinuane.
  Mdau

 3. Anonymous

  October 23, 2012 at 2:19 pm

  Habari Dina!
  Nisaidie kwa hili,NAHITAJI Kununua ILE CD ALOKUWA ANAUZA GEDRUDE MUNGAI SIKU ILE YA KITCHEN PARTY GALA. Please msaada mana sijui ntaipataje

  Ade.

Leave a Reply