Uncategorized

WASEMAJI WA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA HAWA HAPA.

By  | 
Hii ni kwa wasichana kuanzia miaka 18 na wanawake wote kwa ujumla.Jumapili hii diamond jubelee Vip hall kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.Kwa kiingilio cha Tsh 30,000.
 Bado naendelea kuwashukuru sana wadhamini wa hii shughuli ambao ni  
Tsn supermarket(wadhamini wakuu)
Cocacola

Sossi

clouds fm.   

TICKETS ZINAPATIKANA SASA
 Tickets
zimeanza kuuzwa shear illusion mliman city ambapo ukinunua unapata
kuchagua zawadi ya tsh 10,000.
 8020 Fashions sinza mori,Shekinah garden
mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni na bamaga,born 2 shine mwenge Tra,Jackz
cosmetics kinondoni.
PIA mlioko mjini piga namba 0716485666

21 Comments

 1. Anonymous

  October 17, 2012 at 6:46 am

  Ah Getrude Mungai huwa anatoa mada nzuri sana. Huwa namfwatilia kwenye Kipindi chake cha CONNECT kinachorushwa K24

  • Habbie

   October 22, 2012 at 3:19 pm

   Yaani we ndo kama mimi…..Ratiba ya CONNECT kwenye K24 huwa siisahau!
   Najifunzaga vitu vingi sana kutoka kwa GETRUDE! Bahati mbaya sijaweza kuhudhuria japo sikutegemea kama nitaikosa hii event jamani!

  • Anonymous

   October 23, 2012 at 11:18 am

   Habari wapendwa hivi hicho kipindi cha connect kwenye k24 huwa ni saa ngapi na sikugani. Asante

 2. Mama vince

  October 17, 2012 at 6:57 pm

  Jaman hongera sana da Dina kazi nzuri…! I wish 2 be there jaman bt hakuna money aiseee n'no job lyf tyt c mchezo…! Me penda xana wewee

 3. MOJAONE

  October 18, 2012 at 5:35 am

  MIE NITAFATILIA HAPA HAPA KWANI SINA 30,000 ZA KUINGILIA.

 4. emu-three

  October 18, 2012 at 6:17 am

  'Na wanawake wote kwa ujumla' hiyo sentesi, imekaaje,maana naona kuna mtoa mada mwanababa.

 5. MOJAONE

  October 18, 2012 at 9:39 am

  HA HA HA HAAAAAAAA KUMBE TUPO WENGI EEE POLE SANA, TWENDE DAR LIVE KWA 5,000.

 6. Anonymous

  October 18, 2012 at 11:23 am

  Nashauri tukio zima lirekodiwe kisha cd au dvd zinaweza kuuzwa kwa wale ambao hawatahudhuria, na hata ambao wamehudhuria wanaweza kununua.

 7. Mina

  October 18, 2012 at 11:39 am

  Kila la heri wanawake wenzangu.Maaa Dina uko juu kama bunge la chadema.

 8. Anonymous

  October 18, 2012 at 12:56 pm

  Mambo Dinah, Hongera kwa kazi nzuri na elimu unayotupatia. Mimi nimekuwa napita kwa blog yako kila siku, nahitaji ushauri wako / wadau wa kijasiriamali… Nataka nifanye biashara ya nguo za watoto na kina dada tu toka nje ya nchi.. natafuta mtu mkweli na mwaminifu wa kunipa maelekezo ya jinsi ya kufanya nikifika China / Hongkong au nchi yeyote, na je natakiwa kuwa na mtaji wa sh. ngapi labda. Please nisaidieni wajamani, WOMEN IN BALANCE inahusika!
  Mdau

 9. Anonymous

  October 18, 2012 at 4:06 pm

  Hilo nalo neno!kweli warekodi na kuuza! Wengine 2lioshindwa hudhuria kwa sababu moja au nyingine 2weze kuenjoy kwa wakati we2

 10. Anonymous

  October 19, 2012 at 11:49 am

  Ila bibie next time upunguze bei, maana 30000 ni ndefu

 11. Anonymous

  October 19, 2012 at 12:00 pm

  we MOJAONE wewe acha hizo bwana. yaani itakuwa full kuenjoy MWENYE uwezo jamani twende.
  Florah (Mm Mario)

  • MOJAONE

   October 23, 2012 at 12:38 pm

   KARIBU DADA FLORAH YAANI FULL KUPOTEA, TUWE TUNATAFUTANA .. VIBAYA HIVYO. Nipo ktk mojaone4u@hotmail.com pia nipo fecebook kwa Mojaone for-u nitafute mama Mario.

 12. Anonymous

  October 19, 2012 at 10:33 pm

  ha ha ha mina kweli dina is up now na napendea anavobehave as if n mtu mzima sana kumbe wapiii busara tu alizobarikiwa zinamsaidia go dinaaaaaa

 13. Anonymous

  October 22, 2012 at 6:03 am

  Habari zenu,
  Da Dina nakupa hongera nyingi kwa kubuni kitu kama kile, binafsi nilihudhuria jana tarehe 21/10/12 pale Diamond, tatizo lilikuwa katika upatikanaji wa nafasi za kukaa kwa wale ambao hatukuweka booking ya meza.

  Pia nakushauri next time naona ni vyema ratiba ianze mapema zaidi labda saa tatu asubuhi tena Jumamosi labda mpaka saa kumi na mbili au moja jioni. Jana ni jumapili (tulitakiwa kuwahi kujiandaa na kazi ya Jumatatu) na wengine twatoka mbali Tegeta,ilipofika saa mbili hata chakula hatukula tulianza kuwaza safari ya kurudi makwetu.

  Watoa mada walikua wazuri hasa Getrude alitakiwa apewe muda mwrefu wa kueleza na alikua akituonyesha maelezo kwa vitendo vilinoga sana.

  Naomba muandae Galla nyingine kabla ya kuisha mwaka huu 2012 na muyafanyie kazi haya niloyaona kama mapungufu.

  Hongera kwa mara nyingine Dina na mungu akuongoze katika yaliyo mema.

 14. daniella danniel

  October 22, 2012 at 2:16 pm

  du ! Nasubiriaje picha sasa

 15. Anonymous

  October 23, 2012 at 10:05 am

  duh natamani sana ningekuwepo jaman nmsikilize Aunt Sadaka hopes kutakua na mada nzuri sana.

 16. Anonymous

  October 24, 2012 at 5:13 am

  je wasichana kwa mafundisho hayo mnawajenga au mnabomoa? mlitakiwa mfundishe waliokatika ndoa na wanaoolewa arusi imetangazwa sio vitoto mnavijaza mambo yaliyojuu ya uwezo wao. andaeni mafundisho ya kupata wachumba na kutafuta hiyo watakuja wengi tu hao mabinti na vijana wa kiume na jinsi ya kujikinga na kujitunza kama kijana itapendeza.

 17. Anonymous

  October 24, 2012 at 6:01 am

  Hongera Dina,mi nakuloveje?nimependa hyo kitchern party Gala though nlishindwa kuhudhuria lkn nlipata maujuzi kwa mashostosto wangu waloenda,ila ungefanya mpango wa kuanda CD kwa ambao tulishindwa kuhudhuria na hata wale ambao walihudhuria wkt mwingine huwezi kuvikumbuka vyote lkn ukiwa na desa lako la CD unapata muda wa kujikumbushia…na pia Kwa CD najua itauzwa kwa bei nafuu kidogo kwa hyo hata sie tulokosa viingilio ukituwekea CD tunaweza tukaafford kununua…….Ubarikiwe sana dada.

 18. Anonymous

  October 25, 2012 at 10:45 am

  kweli dina wengi wanatamani kuwepo ila sababu ni nyingi zinazoweza kuzuia,wengine waume zetu wkisikia neno kitchen party sthn … wanajua ni mambo mambo flan tu… so ruhusa ya kutoka inakuwa ngumu japo unatamani na unakuta hela sio tatizo… i vyema zikawekwa kwenye cd ili wasioweza kufika wasikilize au kuona nyumbani… mana lengo na nia yako ni kutusaidia.nakufagilia sn dina na nakufwatilia mbay, hope tutameet one day..
  mama hp.

Leave a Reply