Uncategorized

WOMEN IN BALANCE KPARTY GALA MWEZI HUU!!

By  | 
Women in balance kitchen party gala kufanyika kwa mara nyingine tena.Safari hii ni ya mwisho kwa mwaka huu na ya aina yake. Itakuwa jumapili ya tarehe 21st october 2012.
Mahali:Diamond jubelee VIP hall
Muda:Kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.
Kiingilio:Tsh 30,000
Ukitaka kubook meza ya watu kumi piga namba 0787583132,0716485666
Safarii hii ukiacha wasemaji kuna burudani ya kila aina ukizingatia ni ya mwisho kabisa kwa mwaka huu.Bila kusahau chakula,na vinywaji laini.
RANGI YA SIKU
Kwa muda kina dada/mama mmekuwa mkitoa maoni mnataka kushona nguo mtokelezee.
Basi rangi ya siku ni rangi ya chenza (tangerine tango)color of the year 2012.
Ishone utakavyotaka wewe iwe kitambaa cha kawaida,kitenge,kanga,batiki,au ukachanganya vyovyote ili mradi uzingatie rangi ya siku.
Kwa habari zaidi tembelea blogs zifuatazo
www.8020fashions.blogspot.com
www.dinamarios.blogspot.com
www.kajunason.blogspot.com
www.homezdeco.blogspot.com
 UJUMBE WA SAFARI HII
Mwanamke….kuwa mfano!

KUTAKUWA NA PRE LAUNCH  IJUMAA YA TAREHE  12 KATIKA BUSTANI YA SHEKINAH KWA MWALIKO MAALUM.UNATAKA MWALIKO NIPIGIE 0787 583132.

5 Comments

 1. Anonymous

  October 4, 2012 at 9:21 am

  kwa mtazamo wangu sioni sababu ya kuvaa sare kwenye shughuli kama hizi …hii ni kupoteza fedha tu! hizi sare wanawake wanashona kila shughuli tz hii haki ya mungu kwa mwaka ni mtaji tosha wa kufanya biashara! we should think past this "sare" thing naelewa umuhimu wa kuwa smart lakini sare ni big no….guess what kuna watu ambao wangependa kuja ila kwa vile kuna suala la sare wanaweza kughairi…..waache watu waje wamevaa casual smart..period.

 2. Anonymous

  October 5, 2012 at 12:24 am

  Dada Flora ni mmoja wawaandaji?

 3. emu-three

  October 5, 2012 at 5:51 am

  Mpendwa tupo pamoja, maana ujumbe wako kuwa `ndoa sio mambo ya chumbani tu' nimeupata, na labda mengi yatajadiliwa huko. TUPO PAMOJA

 4. Anonymous

  October 5, 2012 at 12:11 pm

  nami naungana na mdau hapo juu mambo ya sare na nini ni kujiongezea cost zisizo za lazima ukichukulia hii sare itakuwa siyo ya kila kitchen party gala yaani unavaa mara moja then basi, na iwe anaependa sare avae asiependa basi avae tu nguo yake ya kawaida itakayompenda naomba hili liwe angalizo dinah ili usipoteze wadau kwa ajili ya sare tu…

 5. Anonymous

  October 9, 2012 at 8:33 am

  me washaniboa hizo namba zote walizoweka tigo haipokelewi airtel haipatikan napataje meza?

Leave a Reply