Uncategorized

WOMEN IN BALANCE(kitchen party gala) PRE EVENT KUFANYIKA SHEKINAH GARDEN

By  | 
Tumezoea harusi nyingi,send off,kitchen party kufanyika katika kumbi zilizofunikwa lakini Shekinah Garden wanakupa sababu ya kufanya harusi yako katika bustani ya ukweli.Nimekuwa nikiona wenzetu wa ulaya wakifanyia sherehe za harusi katika bustani iliyo kijani na ikapambwa ikapambika sasa ni zamu yako kufanya hivyo  na Shekina garden.
 Shekinah wamenipa nafasi ya kufanya pre event dinner ya women in balance kitchen party gala.Itakuwa ijumaa hii ya tarehe 12 kuanzia saa moja usiku mpaka saa nne usiku..KWA MWALIKO MAALUM.Ukipenda kushiriki nipigie kwa namba yangu 0787 583132.
Kwa utakaekuja utajipatia nafasi ya kushinda ticket ya bure ya event yenyewe jumapili ya tarehe 21 mwezi huu.Mahali ni pale Diamond jubelee VIP hall.
Shekinah garden ipo Mbezi beach makonde barabarani kabisa karibu na samaki samaki.
Kwa mawasiliano zaidi
Plot No. 2
Mbezi Beach (Makonde)
P.O.Box 550
Dar-es-Salaam Tz
Direct Line: +255 (22) 2627116
Office Cell: +255 767 333 239
+255 655 627 116
+255 765 856 029

6 Comments

 1. Anonymous

  October 10, 2012 at 10:06 am

  Wow…This place is Awesome!!!Kwa kweli itapendeza sana…

 2. Anonymous

  October 10, 2012 at 6:42 pm

  Jamani hii shughuli simngeifanya tarehe 28 mwenzenu nipo safarini narudi tarehe 27 kila hii shughuli ikifanyika huwa sipo chonde chonde naomba mbadirishe tarehe.

 3. emu-three

  October 11, 2012 at 5:46 am

  Haya kazi kwenu

 4. Anonymous

  October 11, 2012 at 8:42 am

  Mazingira mazuri sana utafikiri sio Tz, duh nitafika siku 1 nika enjoy tu.

 5. Anonymous

  October 12, 2012 at 12:40 pm

  jamni mbona hii women in balance haiji Arusha???? na sisi tunaitaka sana

 6. Ammy K

  October 15, 2012 at 6:04 am

  hata kwa nje pia panavutia sana tu kumbe ndani ndo usiseme, kwa haruc poa sana daah, sasa tz tuna sehemu nzurinzuri mpk raha. hongera kwa mwenye kumiliki shekinah.

Leave a Reply