Uncategorized

ARUSHA……WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA JUMAMOSI HII,UPO TAYARI?

By  | 
Ni jumamosi hii ya keshokutwa tarehe 10 november pale Blue fame Tripple A.
Wazungumzaji wetu wa siku kutoka Dar es salaam ni Aunty Sadaka mwanasaikolojia ya jamii.

Kutoka Mombasa kenya tutakuwa na Getrude Mungai(Life Style
Designer of Sex and Relationships.

Kwa kiingilio cha Tsh 30,000 tu utapata mafunzo ya kutosha kuhusu maisha katika ulimwengu wako mwanamke.Katika mahusiano,ndoa kwa ujumla wake.Naambiwa wadada wa Arusha siku nyingi wameshapata mavazi yao kwa rangi yetu ile ya chenza.
Ticket zitaanza kuuzwa ijumaa pale Triple A (M-PESA) na siku yenyewe ya shughuli mlangoni.Ticket ni chache sanaaaaaa jamani hakikisha unawahi mapema.
Shughuli itaanza saa nane mchana naambiwa wanawake wa Arusha kutembea usiku mwisho saa sita haya tutamaliza saa sita.
Chakula(dinner)na vinywaji laini vitapatikana free.
Muongoza shunguli ndio mimi mwenyewe
kama una swali au unataka kufanya booking ya ticket nipigie 0787 583132
 
Oriflame watakuwepo kukuuzia bidhaa yao ya kusafisha uke inaitwa feminelle.Na pia nawashukuru sana Brilliant Printing kwa kazi kubwa waliyofanya ya printing ya fliers,banner na roll up banner.
Halafu nataka msemaji mmoja kutoka Arusha embu pendekeza maana wewe ndio unawajua vyema wa huko ili tupate mwenyeji.Atakaetajwa sana ndie ntamchukua.
 
USIKOSE .

21 Comments

 1. Ruky

  November 6, 2012 at 10:02 pm

  DAA KUNA DADA ANAITWA NEEMA JAMANI ANAFAA SANA NGOJA NITAFUTE NO. YAKE NTAKUTUMIA KWENYE NO YAKO INAYOISHIA 32

 2. Anonymous

  November 7, 2012 at 12:07 am

  Hiyo tarehe inahitaji masahihisho.

 3. aisha yassin

  November 7, 2012 at 5:32 am

  mambo vp dina mbona umetusaha huku zanzibar

 4. Anonymous

  November 7, 2012 at 5:57 am

  Dina tuandalie na Tanga pliz

 5. Anonymous

  November 7, 2012 at 8:50 am

  TAFAZALI DIN NAOMBA UTOKELEZEE VIBAYA VIBAYA MAMBO YA KUPENDEZA KWA KUBAHATISHA HATUYATAKI. MTOTO MZURI KUSHONA MISHONO YA KIZEE KM ULE WA KWENYE KICHEN PARTY GALA ILOPITA. UMEONEKANA MPANAAAAAAAA

 6. emu-three

  November 7, 2012 at 11:59 am

  KWELI MUPO JUU!

 7. Anonymous

  November 7, 2012 at 12:51 pm

  Na arusha napo ukawaweke mashost zako meza za.mbele ndio kasumba yako.

 8. Anonymous

  November 7, 2012 at 2:39 pm

  Off topic,naomba wadau msinishambulie..please dinna tuekee tuone picha za harus y anorld kayanda jmn tusafishe matongotongo wngne mweeee

 9. Anonymous

  November 8, 2012 at 6:36 am

  Anonymous no mbili sijakuelewa tarehe inahitaji masahihisho gani??

 10. Anonymous

  November 8, 2012 at 11:52 am

  haka kamradi kanalipa kumbe,full kuwaibia mambwiga

 11. Anonymous

  November 8, 2012 at 8:02 pm

  Tunamtaka Dada Irene Mbowe ndio atuwakilishe wana arusha. anapatikana kwa 0784/0754-357118

  • Anonymous

   November 14, 2012 at 12:16 pm

   wewe usituletee upuuuzi wa kisiasa kwenye mambo ya msingi,siasa zenu huko huko

 12. Anonymous

  November 8, 2012 at 8:32 pm

  tunamwomba dada anaitwa kungwi lao ama irene mbowe wa soko adventures ndio atuwakilishe wanawake wa arusha please. tunampataga kwa namba 0754-357118,mtembelee kwenye facebook kwa jina la KUNGWI LAO utamwona

 13. RUKY

  November 8, 2012 at 8:43 pm

  SORRY DINA HUYO DADA AMEFIWA NA SHOGA YAKE WAPO WENGINE WENGI ILA SINA NO. ZAO..ALL THE BEST..JAMANI ARUSH MSINIANGUSHEEE

 14. Anonymous

  November 9, 2012 at 10:10 pm

  Tupo pamoja dina.

 15. Anonymous

  November 12, 2012 at 7:03 am

  Tujuzeni Wana arusha yaliyojiri, maana naona huyo Irene Mbowe, amepigiwa debe sana, kama vipi na sisi tumtumie, aliweza au? maana ninasikia ni mdogo kiumri, sasa kungwi mwenye miaka 30 anawafundisha nini?

 16. amina k. tanga

  November 12, 2012 at 8:07 am

  Amina t. tanga,Da Dina plz next gala uje tanga nakuhakikishia tupo wadau wengi.

 17. Anonymous

  November 17, 2012 at 3:34 pm

  Moshi lini?

 18. RUKY

  November 18, 2012 at 6:19 pm

  JAMANI DINA MDIYO NINI KUTUCHUNIA MUDA MREFU HIVYO??????????????????//

 19. Anonymous

  November 20, 2012 at 6:06 pm

  Picha za ar jamani tunasubiri mweeeee

 20. Anonymous

  January 6, 2013 at 2:23 pm

  Kuna mdada mmoja hivi anaitwa salma mnaro… she is super woman talented in talking positivity, caring, lovely.. so amazin!!! you can contact her 0784 874174, 0759356505…Nice tym

Leave a Reply