Uncategorized

LEO NDIO SIKU YA UCHAGUZI MKUU WA URAISI MAREKANI

By  | 
  Barack Obama na Mit Romney kutoka chama cha Republican
 Obama alipiga kura toka Oktoba 25 katika uchaguzi wa awali
Mitt Romney akishare kiss na mkewe Ann mara baada ya kupiga kura huko Belmont, Massachusetts.
 Maeneo mbalimbali  leo watu wameonekana wakijipanga kupiga kura

Nani kuibuka kidedea Barack Obama anaetetea kiti chake cha uraisi au mpinzani wake Mit Romney?Tusubiri.

Leave a Reply