Uncategorized

NI NGUMU KUAMINI KAMA ‘”SHARO MILLIONIARE” UMEKWENDA!!

By  | 
Ilikuwa tuonane unipe wimbo wako mpya mdogo wangu,wiki iliyopita nikakuelekeza mpaka nyumbani lakini baadae ukanipigia kuniambia umechelewa imeshakuwa usiku utanifata ofisini.
Habari ya kifo chako imenistua sana sijalala kabisa kila nikishtuka natamani iwe ni habari ya kuzusha tu.Umekwenda bado mdogo sana ukiwa na ndoto nyingi na malengo mengi.Sitapenda kumkufuru Mungu bali nakuombea pumziko la milele.
Pumzika kwa amani  
Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea watoto watakumiss sana’ooooh mama’

21 Comments

 1. Unknown

  November 27, 2012 at 7:39 am

  Ama kweli kuishi ni Majaliwa na Kufa ni Lazima!!Mungu akupe wepesi huko uendako nasi tupo njiani twaja!!

  WABOGOJO

 2. Anonymous

  November 27, 2012 at 7:40 am

  R.I.P shalo….tutazipata wapi tena swaga kama zile zako?kwel nmeamini vizuri havidumu…nakuombea pumziko la milele la amani.

 3. mama chanchia

  November 27, 2012 at 7:54 am

  yani dinah we acha tu, hatuna la kusema ila kumuombea tu kwa mungu..Inna lillahi waina illaihi rajiuun..me mwanangu leo asubuhi kanitia huruma mpaka mpaka chozi limenitoka, namwambia sharo millionea kafa ananiambia hata hajafa mbona huyo hapo(wimbo wake ulikuwa unaimba..yani huwa anampenda sana, hasa zile swaga zake..

 4. Anonymous

  November 27, 2012 at 8:18 am

  R.I.P SHARO MDOGO WANGU NIKO NJE TZ ANASIKILIZA CLOUDS FM UMEONGEA KUHUSU PICHA BUT NINACHOSEMA KUWA MBONA KIMYA ZAKO WA TEENTZ PICHA IKO SASA S

 5. Anonymous

  November 27, 2012 at 8:19 am

  SEMA NA NDUGU ZAKO WATOE PICHA

 6. Anonymous

  November 27, 2012 at 10:42 am

  RIP

 7. Ruky

  November 27, 2012 at 11:22 am

  inlilahi wa inailahi rajihunn…….

 8. Anonymous

  November 27, 2012 at 12:03 pm

  R.I.P SHARO, UKAPUMZIKE KWA AMANI

 9. MOJAONE

  November 27, 2012 at 12:26 pm

  DINA JARIBU KURUDIA MISTARI YAKO BAADA YA KUIANDIKA, KAMA MWANA HABARI HUTAKIWI KUANGUKIA MAKOSA MADOGO MADOGO KAMA HAYA, KTK HABARI HII UMESEMA NANUKUU (imenistua sana sijalala kabisa kila nikishtuka natamani iwe ni habari ya kuzusha tu). KAMA HUJALALA VP UNASHTUKA.

  • Anonymous

   December 6, 2012 at 10:42 am

   Acha hizo kwani kustuka ni mopaka mtu aamke????? Inakuwaje wale wanaostuka wakiwa wamesimama???? Kwani yeye kasema kila akiamka au kasema kila akistuka??? ina maana anakuwa mbali kimawazo na anapostuka ndo anaona ni kweli na hapo ndo anatamani iwe ni uzushi tu….. Hiyo comment siku nyingine mtafute Dinna kwenye simu yake mkononi na umwambie………….

   MBONA MNAKUWA HIVYO WATANZANIA??? DAIMA SIE NI WAKOSOAJI NA HUPENDA KUKOSOA KWA KUTAKA TUONEKANE KAMA HIVI NILIVYOFANYA MIE.

 10. Anonymous

  November 27, 2012 at 12:44 pm

  Jamani dina , yani mi nimefungua tu radio leo asubuhi BBc nakutana na hiyo habari yani ni Hbr mbaya sana kuipata asubuhi subuhi , sikuamini , ila kumbukumbu zangu zikawa siku ile mlimmuhoji kwenye leo tena akiwa na kina shilole ndo nilipata kumjua zaidi kwani mi sijaangaliaga movie zake ila wanangu wanapenda sana lile tangazo za airtel we unatoa wapi meeen !! ha jamani , Mungu Ailaze Roho ya marehemu pema amen

 11. RACHEL MAWI

  November 27, 2012 at 2:15 pm

  PUMZIKA KWA AMANI SHARO TULIKUPENDA ILA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI

 12. Anonymous

  November 28, 2012 at 6:09 am

  Mungu anatupenda zaidi ya tupendanavyo sisi. ila sharo hakuna wakuziba pengo lako na kamwe hatokei hua sipendi komed bt he make me love it, dah!Jina la Bwana lihimidiwe kwa kazi yake.

 13. Anonymous

  November 28, 2012 at 6:52 am

  Dina maneno yako yameniliza sana. Sharo Mungu akupumzishe mtoto wangu. Eeeeeh kifo,sina cha kukueleza ila naacha tu Mungu aitwe Mungu na namuomba atutie nguvu kipindi hiki tunachofarakana na tuwapendao ili tuweze kutoa vyote mioyoni mwetu ambavyo vinatuzuia tushindwe kusema kuwa mapenzi yake yatimizwe.Burian Sharo Milionea.

 14. zay

  November 28, 2012 at 7:57 am

  so touching machozi yamenitoka kama alikuwa ndugu

 15. Anonymous

  November 28, 2012 at 10:42 am

  UPUMZIKE KWA AMANI SHARO MILLIONEA.UMEZIMIKA GHAFLA KAMA MSHUMAA KWENYE UPEPO MKALI.INSHALLAH TUTAONANA SIKU MOJA

 16. Anonymous

  November 28, 2012 at 12:48 pm

  bookmarked!!, I love your blog!
  Also visit my web-sitehow to make an app

 17. mi amor

  November 29, 2012 at 1:21 am

  blog zote nimesoma kila mtu akisikitika kuhusu taarifa ya kifo cha sharo milionea lakini maneno yako dina yameniuma sanaaaaaaaaaa mi pia sikulala nilivopata habari naumia hadi sasa pia sitaki kukufuru ninachoweza kusema innalilahi wa innaillahi rajuun

 18. Anonymous

  November 29, 2012 at 10:43 pm

  Kwenda kuhukumiwa na Muumba wetu ndiyo safari na hatima yetu viumbe vyote. Tunamwomba Mola aliyeumba vitu vyote tunavyovijua na tusivyovijua amuweke ndugu yetu Sharo mahali pema peopni. Amin. RIP bro…..

 19. Anonymous

  December 6, 2012 at 10:00 am

  RIP Sharo Milionea. Inauma sana lakini hakuna jinsi. Kila nafsi itaonja mauti.

 20. Anonymous

  December 6, 2012 at 11:16 am

  NAKUMBUKA LILE TANGAZO LA SHARO ANAKULA UGALI WA MUHOGO KISHA ANAMWAMBIA BABA YAKE MAJUTO, "UNA GUND MEEN ONA UNAVUTIKA UNA GUND MEEN!!" LOH! R.I.P SHARO ONE LOVE KAKA

Leave a Reply