Uncategorized

NILIPOKUWA ARUSHA KATIKA KITCHEN PARTY GALA

By  | 
Ilikuwa tarehe 10 mwezi huu wa kumi na moja katika ukumbi wa blue fame tripple a.Ilifanyika women in balance kitchen party gala na nilipata nafasi ya kukutana na kupiga picha na wadada/wakina mama wa Arusha.

Picha zaidi za shughuli zinakuja,mtanisamehe kwa kuchelewa ni kutokana na pilika za maisha na kuelemewa nikashindwa kuziwasilisha hapa.Katika picha hizi ni za muda tofauti tofauti wa shughuli hasa mwisho kabisa.

12 Comments

 1. Anonymous

  November 22, 2012 at 8:02 am

  hamna hata kaclip dada yangu angalau tuone mambo ya huko

 2. RUKY

  November 22, 2012 at 2:27 pm

  DINA UMEPENDEZA NAONA UMEPIGA PICHA NA MY SISTER WA HIYARI FAUDHIA…PICHA YA KUMI NI TIRA UA???? MACHO YANGU MMMH HAYA MAANA..NTAITWA MMBEA SASA HIVI

 3. Mama 2

  November 23, 2012 at 5:00 am

  Mambo Dina! Habari za siku tele!! Ulipendeza sana!!!! hongera!!

 4. Angy G

  November 23, 2012 at 6:34 am

  Am I the first one to wish you Happy Birthday today? NO? The second one? No? Doesn't matter, in my mind I was the first one who thought of you at midnight on your special day 🙂

  LOVE U DINA HAVE FUN ENJOY MA GIRL

 5. R.Ngaiza

  November 23, 2012 at 7:10 am

  Kazi njema mama, happy birthday.

 6. Anonymous

  November 23, 2012 at 8:26 am

  happy birthday dinah,may god give you long life..

 7. Anonymous

  November 25, 2012 at 10:54 am

  tupo Moshi tunahitaji lakini maandalizi ya muda mrefu ili tuwe na watu wengi. utaratibu ukoje

 8. Anonymous

  November 26, 2012 at 6:29 am

  Mambo yalikuwa mazuri,watu wa Arusha hawana maneno,hakuna comments zozote.

 9. Anonymous

  December 1, 2012 at 9:54 pm

  kwa nini asilimia 90 ya wanawake mnapenda nywele za bandia?ni kutojiamini au

 10. Anonymous

  December 6, 2012 at 8:26 am

  Dina umesema mwezi december utakuwa mwanza.. exactly date please…??tafadhali usimwache mama victor na huyo mtoa mada toka kenya.Thanks in advance

 11. Anonymous

  December 14, 2012 at 5:57 pm

  Jamani Dina Mungu azidi kukubariki mi nilimiss ila nionjeshwa kidogo, najiandaa for march, nimemuona dada yangu Tea mnalonga nae, picha ya pili toka chini,, Nakupenda sio siri,,,

 12. Anonymous

  January 12, 2013 at 7:43 pm

  jamani dina dom lini?

Leave a Reply