Uncategorized

SAMSUNG WEEK 2012

By  | 
Samsung week dinner,Ilikuwa ijumaa iliyopita pale Golden Tulip.Tulialikwa watu mbalimbali kushuhudia ulimwengu wa teknolojia kupitia bidhaaa mpya za samsung.
Mwendesha shughuli alikuwa Sauda Simba.

Nilivutiwa na hii laptop maalum kwa ajili ya watoto.Hii hata ikiingia maji haiaribiki ipo kama kibegi hata akiiangusha haivunjiki wala kuharibika.Najua wapo wazazi wangependa watoto wao wapate hii hasa wale ambao wameshakuwa hakuna haja ya kutumia laptop ya toy tena.
 Asma Makau wa clouds fm,Mwanamuziki Jaffarai na Dj Fetty

21 Comments

 1. Anonymous

  November 5, 2012 at 7:59 am

  Hongera dear, naona tumbo limepungua sasa. Me nilianza diet na wewe nashukuru nimekata kilo za kutosha nilikuwa na 87 sasa nina 75. We umefikisha ngapi?

 2. Anonymous

  November 5, 2012 at 8:40 am

  woooow dina,u luk amazing….mmmwwaaaa

 3. Anonymous

  November 5, 2012 at 8:58 am

  NARUDIA TENA DINA TAFUTA SPANX KM BONGO HAMNA BASI MWAMBIE SHOSTI WAKO WOWOTE ULAYA AKUNUNULIE. UMEPUNGUA VIZURI SN SN HATA MKONO UNAPENDEZA ILA TUMBO BADO GAUNI ULOVAA NZURI SN SN ILA INGEKAA VEMA HAPO TUMBONI KM UNGEIVALIA SPANX. KIFUA IMETILIA HASA KAZI CHINI HAPO PANACHUKUA MUDA KUPUNGUA I KNW SO TAFUTA NAMNA YA KUPAKABILI HUKU UKIWA UNAENDELEA NA GYM SPANX SHOSTI ITAKUTOA KIN OPRAH WOTE BILA HIYO HAKANYAGI MATUKIONI COZ NI WANENE. HATA WEMBAMBA PIA KUNA FLANI INAKUBIDI KINA KADASHIAN,BEYONCE,J HUDSON NA WENGINE. YANI IYO GAUNI IMEKUTOA SN HASA MAENEO YA KIFUANI

  • dinamariesblog

   November 5, 2012 at 10:13 am

   SASA SHOST UKIONA HIVYO SIJAPATA KAMA WEWE UNAJUA ZINAVYOPATIKANA NISAIDIE MWEEE!!1

  • Anonymous

   November 5, 2012 at 10:22 am

   Umependeza sana Dina. Nimependa gauni lako, umenunua wapi?

  • Anonymous

   November 5, 2012 at 6:05 pm

   Mi nitakutumia upendeze.Nitumie Address gani?

 4. Anonymous

  November 5, 2012 at 10:29 am

  dina kweli umependeza kuliko ile sikku ya kitchen party gala ile nguo ilikufanya ukawa mpana sana , ila hapa mwake , hata mimi natafuta hiyo spanx jamani , dina ukifanikiwa tujulishe na sie mi nitanunua ,

 5. Ald

  November 5, 2012 at 10:38 am

  kwenye jina la SAUDA SIMBA ondoa KILUMANGA haraka sana kabla hajakupigia simu. Huwa an-mind saaana. She is no longer called Sauda Simba Kulumanga, just Sauda Simba

  Anyway umepungua sana… Nitafanya diet yako bila mazoezi nione. Nataka kupungua kilo 10 tu

 6. Anonymous

  November 5, 2012 at 12:03 pm

  dina umependeza ila spanx kama alivosema mdau n mhm sema saiz yako ntakuletea

 7. RUKY

  November 5, 2012 at 12:34 pm

  SPANX BONGO HAKUNA MIE BAJET HAIPO POA SHAURI YA SHULE MAAN NI KWENYE DOLA 100 NAAA NILIONA KWA SHOGA YANGU ALINUNUA ON LINE KUTOKA US MPAKA HUKU UK.ILA NIOMBEE INSHAALAH ONE DAY YES..UMETOKELEZEA DINA MASHAALAH…TENA USIJE NUNUA SIJUI KOSET HAZIFAI NI KUPOTEZA HELA TU..SPANX MDAU UMESEMA KWELI MASUPRE DUPER WOTE WA ULAYA HAWATOKI BILA HII KITU..

 8. Anonymous

  November 5, 2012 at 2:14 pm

  ninakupenda sana dada dina..umependeza mwenyewe afu

 9. Anonymous

  November 5, 2012 at 7:16 pm

  ALIEKUSHAURI KUVAA NGUO HII UMSIKILIZE KILA SIKU, USIWE UNAPENDEZA KWA KUBAHATISHA HONESTLY SIKU YA KTCN PRT GALA HUKUPENEZA KBSAAAAAAAAAA YANI HUKUWA NA MVUTO KM HUU WA HILI GAUNI JEKUNDU WALAHI KM WATU WANAOLEWA KWA PICHA BASI HII PICHA NDO INGEENDA UKWENI KAMA SI MADHABAHUNI.KUHUSU SPANX NI KWELI TAFUTA ITS BIT UNCOMFORTABLE TO WEAR IT IN THE BEGINING BUT TRUST ME ITS WOMAN BEST FRIEND

 10. Anonymous

  November 6, 2012 at 10:20 am

  WOW!!!UMEPENDEZA ILE MBAYA DINA,MIMI KWA KWELI KA DIET KAMENISAIDIA PIA KWA SASA NAVAA KILA NGUO NA NINATOKA POA NAKUSHUKURU SANA DINA KWA KWELI.

 11. Anonymous

  November 6, 2012 at 12:26 pm

  SPANX mbona rahisi kupanikana tuoneni mapenejee kama sisi tuwapatie hivyo ni vitu sipmle kupatikana

 12. Anonymous

  November 6, 2012 at 12:28 pm

  Hapo uliposhika kwenye picha ya chini pana kitu kitamu sana

 13. Anonymous

  November 6, 2012 at 12:47 pm

  umejitahd big up cio mchezo kupungua jaman unastaili pongez.haya ushapata mdau wa kukuletea spax ss kazi kwako otherwise u luk gud luv u dina

 14. mama Glory

  November 7, 2012 at 8:28 am

  jamani asili ya watu wa kagera ni unene so Dina akinenepa msimponde, leo amepungua mnamsifia kesho na kesho kutwa akiongezeka maneno mwacheni ndio mwili wake alioumbwa nao, mtafanya mrembo apatwe na vidonda vya tumbo bure kutokana na mawazo nahisi hata akitaka kutuwekea picha yake anakuwa tu na wasiwasi kwa sababu hajui watu watatoaje comment zao jamani wadau wenzangu pls mwacheni na mwili wake. kuhusu hilo gauni umependeza mammy u look cute, aliyekushauri kulivaa hilo gauni anakupenda kuliko aliyekuchagulia ule mshono wa kichern part galla.

 15. Anonymous

  November 7, 2012 at 3:31 pm

  Umependa Dina, naomba uwe rafiki yangu.

 16. Anonymous

  November 8, 2012 at 7:53 am

  mambo dina! kiukweli umependeza ila mm nna ishu tofauti na mada hiyo .
  " mimi ni mpenzi sana wa blog yako na dinahicious lakini nimuda sasa nikifungua dinahicious nakuta hakuna mpya muhusikia wa blog hii yuko wapi? naomba kujua maana nimefuatilia sasa naanza kukuta tamaa kuifungua.

 17. Anonymous

  November 13, 2012 at 9:44 am

  mambo dina! mbona mmekuwa kimya hivyo blog aiko kama zamani ck hz inaweza pita week ujapublish chochote uoni kama inatuchosha wadau? maana toka hy kitchen party gala mpaka leo hamna jipya kulikoni?

  pia nilikuuliza kuhusu dinahicious nae amekuwa kimya miezi ss hata hasemi shida nini kama vp ajitoa kwanye mabloger kuliko kila ukifungu mambo niyaleyale inachosha.

 18. Anonymous

  November 13, 2012 at 8:33 pm

  Mmh jamani spanx mbona dollar 50tu M&S hata ksma unamtuanakiha dubei muangizie deira city centre

Leave a Reply