Uncategorized

UJUMBE NILIOUPENDA LEO!

By  | 
”Kitu muhimu na kikubwa baba anachoweza kufanya kwa watoto wake ni kumpenda mama yao”
Maneno haya yamenikuna kweli leo baada ya kuyaona nikayatafakari sana.Ni kweli kabisa baba anapompenda mama watoto wanaona kwa matendo.Na baba anapokuwa sie watoto wanajua kabisa baba mzushi tu kwa mama.
Kazi kwenu kina baba,mara nyingi napenda kutumia picha za familia hii kwa sababu naipenda.
Kama una picha ya familia yako nzuri na hauna tatizo nikiitumia hapa.Basi nitumie ikiwa na ujumbe wowote ule na mie nitaiweka pasipokusahau utambulisho. 

4 Comments

 1. Anonymous

  December 2, 2012 at 10:17 am

  Nzuri ukiamini hvy!

 2. Anonymous

  December 4, 2012 at 4:55 pm

  mbona huyu mtoto hana adabu, yaani anashika nanihiu ya baba yake na babaye anachekelea? Mhhhh, dunia hadaa!

 3. Anonymous

  December 9, 2012 at 4:46 pm

  kweli kuna watu wenye matatizo ya macho,mbona mie sijaona sehemu mtoto aliposhika nanihiu ya babaake ktk picha hii?Mhhh,dunia nzuri ila tafsiri hadaa

 4. Anonymous

  December 14, 2012 at 3:25 pm

  Wewe tuu na macho yako,huoni kama mikono ya mtoto ni mifupi na anahitaji balance sababu kakaa juu

Leave a Reply