Uncategorized

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUSHIRIKI MAPENZI NA MWANAE WA KUMZAA

By  | 
 
Mkazi wa Mtaa wa Mbete,Kata
ya Isanga Jijini Mbeya Bwana
Yussuf Hamad (39),anatuhumiwa kumpa mimba binti
yake wa kumzaa(16) jina lake limehifadhiwa.
Hayo yamethibitishwa na Mama mzazi
wa binti huyo Bi, Regina Simon(35) baada ya kupata taarifa Mei 11 mwaka huu
kuwa binti yake ana ujauzito wa miezi minne,na kuamua kutoa taarifa kwa
Balozi  wa mtaa huo Bwana Steven Ovaova ambaye naye alitoa taarifa kwa
Mwenyekiti wa Kitongoji Bwana Angelo Sanga
.
Hapa bwana Yussuf Hamad akitoka mahakamani kwa aibu
Hapa jamaa akijitahidi kukwepa kamera za waandishi wa habari 
Binti
huyo ambaye alipewa mimba na baba yake mzazi amejifungua mtoto wa kike ambae sasa anamiezi mitatu, binti huyo
kaletwa jana mahakamani hapo kama ushahidi wa kesi hiyo na kesi imehairishwa mpaka tarehe
12/12 mwaka huu.
 Hapa akiwatishia na jiwe watu waliokuwa wakimuzomea baada ya kutoka mahakamani
           habari zaidi ingia hapa
http://mbeyayetu.blogspot.com/2012/12/baba-anaetuhumiwa-kuzini-na-kuzaa-na.html

4 Comments

 1. zena

  December 7, 2012 at 8:29 am

  Lol! jamani mwisho wa dunia unakaribia, eheh mola wetu waja wako tunaelekea wapi yarabi

 2. Anonymous

  December 7, 2012 at 4:51 pm

  Daah….huyo baba ana roho ngumu balaaa!!!

 3. RUKY

  December 7, 2012 at 6:12 pm

  SASA JAMANI KOSA KUBWA KAMA HILI KWANINI YUPO NJE KIDHAMANA JAMANI NDIYO MAANA WAKATI MWINGINE WANANCHI WANAKOSA UVUMILIVU..IMENIUMA SANA

 4. Anonymous

  December 10, 2012 at 9:08 pm

  Wadau huu ni ukweli unaouma. Kuna mababa wengi hapa TZ ambao wanafanya mapenzi na mabinti wao wa kuwazaa. Nimejuaje? Mimi ni mshauri nasaha hizi kesi nakutana nazo at least kila wiki.

Leave a Reply