Uncategorized

BEST OF MAD ICE VOL. 1 – RELEASE PARTY

By  | 
Amejulikana na kutamba kwa nyimbo zake nyingi kama Baby Gal, Wange na kwa sasa Mapenzi Sumu, huyu si
mwingine bali ni msanii mashuhuri wa miondoko ya Afro-soul Mad Ice.
Msanii huyu ambaye makazi yake yapo nchini Finland kwa sasa yupo hapa nchini
Tanzania kwa ajili ya kuzindua album yake mpya.

Kua mmoja wapo ndani ya usiku
maalum ambapo msanii huyu wa kimataifa atatumbuiza na bendi yake na
kukuimbia nyimbo zile kali toka album yake mpya “Best of Mad Ice, Vol.
1” na pia akisherekea maadhimisho ya miaka 10 katika tasnia ya muziki.

 Usikose!

15 December 2012, 8pm

Venue: Thai Village (Former Arabella)

Tickets: Tsh 10,000 at the gate

8 Comments

 1. Anonymous

  December 14, 2012 at 8:19 am

  nilienda tu wimbo wake wa Wange ingawa sijui maana yake,umetulia sana ule wimbo

 2. Anonymous

  December 14, 2012 at 8:20 am

  niliupenda sana wimbo wake wa Wange ingawa sijui mana yake hata,safi sana

 3. Dina fans

  December 14, 2012 at 3:49 pm

  dina jamani umevaa nini kwenye uzinduzi wa club? c bora ungevaa ha jinsi na kitop kizuri simple

  • Anonymous

   December 24, 2012 at 8:41 am

   naona blog imekushinda bi dada, nakushauri uifunge tu. Mbona siku hizi umekuwa hivyo? UNATUKWAZA!!

 4. Anonymous

  December 23, 2012 at 7:28 am

  Mambo Dina

  Blog inaboha ss mbona kimya sana au ndio busy?

 5. Anonymous

  December 27, 2012 at 5:29 pm

  WENGI TUNAKUPENDA KWASABABU YA KAZI YAKO INATUKOSHA SN IVO TUNAJIKUTA TUKIZURU BLOG YAKO MARA KWA MARA BUT WAT DO WE FIND BORING BORING BORING IN SHORT NAIC HII NI MIONGONI MWA BLOG ZILIZOPOZAAAAAAAAAAAAA KM SI KUBOWA NDANI YA 2012

 6. RUKY

  December 30, 2012 at 8:07 pm

  jamani dina umetuchoka eeee sawa wenzio ndiyo sehemu ya kutolea mastress za majuu au una taka nami nijiuwe kwa upweke yani muda mrefu hivyo????????????? missing u alaaah

  • Anonymous

   December 31, 2012 at 11:59 am

   Umekuwa mvivu sana au umeconceive? Hongera maana si uvivu wa kawaida huo.

Leave a Reply