Uncategorized

HAPPY BIRTHDAY KWA MALAIKA HAWA WAWILI.

By  | 
Mtoto Nasreeen-Shally  mwanae na Nargis Mohamed leo ametimiza miaka miwili ya kuzaliwa.Hongera Nargis unakuza taratibu taratibu.
 Pia mwanangu mwenyewe anaitwa Hajra leo ametimiza miaka mitatu tangu kuzaliwa.Mie penda wewe karibuni nakuja kukuchukua kwa mama yako Asma Makau.Haiwezekani azae mtoto anafanana na mimi ipo namna.
 Hajra ni mtoto wa mfanyakazi mwenzangu na pia rafiki wa karibu.Ila mwanae anafananishwa sana na mimi.Kila siku namwambia nakuja kumchukua mwanangu nikae nae mwenyewe.

32 Comments

 1. Anonymous

  December 4, 2012 at 2:15 pm

  IM TELLING YOU!!!!!!!!!!!! KABLA SIJASOMA AYO MANENO NILIJUA NIWAKO LABDA NO WAYYY AMAIZING.

 2. edna chaula

  December 4, 2012 at 3:03 pm

  mmmmh da dina kweli kuna namna mwenzangu chukua mwanao mungu anafanya maumbaji hatariiiii hadi nimeogopa.

 3. Anonymous

  December 4, 2012 at 4:13 pm

  kweli aisee mmefanana sana,au baba yake ni ndugu yako?

 4. Anonymous

  December 4, 2012 at 4:51 pm

  Dah Kweli Dina Umefanana nae sana kweli kamchukue mwanao

 5. Anonymous

  December 4, 2012 at 6:53 pm

  duh..kweli da dinah,yani mwafanana haswa

 6. Anonymous

  December 4, 2012 at 7:42 pm

  kweli mnafanana mama itakuwa alikupenda sana akiwa na mimba kwiiiiiiiiii

 7. Anonymous

  December 5, 2012 at 6:33 am

  Jaman dada dina kiukweli kabisa umefanana nae,dunian wawili wawili,yaan ukitembea nae huyo ataitwa mtoto wako kabisa,heri ya kuzaliwa kwake.

 8. Not hater

  December 5, 2012 at 6:57 am

  Kweli Dina huyo mtoto umefanana nae.

 9. Anonymous

  December 5, 2012 at 7:04 am

  Duh Kweli Dina huyo mtoto anakufanana saaana, kweli duniani ni wawili wawili.

 10. Anonymous

  December 5, 2012 at 8:03 am

  ila ni kweli mmefanana na huyo mwana dina, mulize mama ake vizuri hapo inakuwaje, happy birthday to her

 11. Anonymous

  December 5, 2012 at 8:38 am

  aaaah dunian wawili wawili.Huyo mtoto ni wako Dina nadhan mama yake alikupenda wakati akiwa mjamzito .sitaki kuamin usemi alikuchukia Mungu amkuze kwa AMANI NA AFYA NJEMA

 12. Anonymous

  December 5, 2012 at 8:56 am

  dah dina kweli mnafanana tena sana

 13. Anonymous

  December 5, 2012 at 9:17 am

  yani dada DINA kamchukue mmefanana sana jamani uwiiiiiii

 14. Anonymous

  December 5, 2012 at 9:44 am

  HONGERA NARGIS UMEKUZA MAMITO KABIUTFUL KAKO MAMA KENYEWE KAZURI KAMA MWENYEWE

 15. Anonymous

  December 5, 2012 at 10:09 am

  Hi Dina

  Ni kweli umefanana nae au kipindi mama yake mjazito alikuwa anakupenda sana,ila uwa inatokea mie nina rafiki yangu alikuwa anapenda vidole vyangu vya mikono na miguu basi uzuri kapata baby girl,ana vidole kama vyangu na mama yake alifurahi sana coz anapenda sana vidole vyangu.

  Halima.

 16. Anonymous

  December 5, 2012 at 11:50 am

  Ni kweli da dina hyo mtoto mmefanana sana, nilikuwa hata sijaangalia picha ya chini first sight nikaagundua tu mmefanana. what happened?? she is got thin lips like yours haa..!

 17. Anonymous

  December 5, 2012 at 1:12 pm

  Yani Dina siku zote huwa nakuona wakawaida tu lakini baada ya kumuona huyu mtoto ndio nimeona uzuri wako.
  we mzuri sana

 18. Hanifa

  December 5, 2012 at 1:15 pm

  Baada ya kumuona huyu mtoto ndio nikatambua uzuri wako. Hongera sana we mzuri bwana.

 19. Anonymous

  December 5, 2012 at 1:25 pm

  HA HA HA HA DINA SIKUJUAGA KM NA WEWE UNA MAUTUNDU UNAONEKANA MPOLE YANI MAMBO YAKO YAKIUTUUZIMA MNO TOFAUTI NA UMRI .NIMEKUONA SHOSTI KWENYE BLOG YA FETTY UKIYARUDI MPK CHINI SHUTI NIKAZOOM NIKUONE VIZURI KWELI NDOMANA JUMATATU ULIKUWA HOI KM ULIVOSEMA

 20. Anonymous

  December 5, 2012 at 6:44 pm

  yaani Dina mmefanana na huyo mtoto jamani utadhani wako kiukweli,kimdomo kama chako jamani,hafanani hata kidogo na mama yake loh!!!.mama isaac wa kiseke mwanza.

 21. Anonymous

  December 6, 2012 at 1:41 am

  mmmhkweli duniani wawili wawili!

 22. Anonymous

  December 6, 2012 at 7:19 am

  yeah mnafanana sana jamni

 23. Anonymous

  December 6, 2012 at 8:47 am

  hapo mimi naona ulivyokuwa mdogo usitudanganye au mtoto wakwako unatugelesha

 24. Anonymous

  December 6, 2012 at 9:48 am

  HE!DADA DINA HUYO MTOTO MMEFANANA HADI RAHA INAONEKANA NARGIS AKIWA MJAMZITO ALIKUPENDA SANA HONGERA KWA UZURI ULUONAO!!!

 25. mama Glory

  December 6, 2012 at 9:58 am

  dada Dina huyo ni mtoto wako hakuna haja ya DNA, pls naomba umchukue haraka akiwa bado mdogo hivyo ili akuzoe

 26. Anonymous

  December 6, 2012 at 10:51 am

  Meeen mie mwenyewe nimebishanaje na dada yangu hapa baada ya kumuona huyo mtoto maana alikuwa ananiambia kuwa ni mtoto wa rafiki yako ila mie nikamwambia kuwa ni mwanao……..
  Aiseeeeee umefanana nae sana wajameni… Tungekuwa nchi za wenzetu ningekushauri uombe awe GOD MOTHER wake…. She realy your copy

 27. Anonymous

  December 6, 2012 at 11:57 am

  SAMAHANI DINA, NINA KATATIZO MSAADA TUTANI, MWENZIO HAPA NILIPO NINA UGOMVI NA DADA YANGU NAOMBA UNISAIDIE, KILA SIKU ANANISIMULIA KUWA KUNA BLOG FLAN FLAN ANAZIPENDA KWELI KUANGALIA WATU WANACHAMBANA SANA HAPA MJINI, BASI MI HUWA NAMWAMBIA MIMI NIKIWA NA MUDA HUWA NACHUNGULIA BLOG YA DINA TU HUWA NAENJOY BWANA ANA VITU VINGI VINAFUNDISHA SANA, HIZO ZINGINE SIJAONA RAHA YAKE MIE, SIJIFUNZI KITU, BASI KUMBE HUWA NAMBOA BWANA, MI HUWA NAJUA NI MAZUNGUMZO YA KAWAIDA TU HUWA TUNAONGEA KUMBE MWENZANGU LINAMKABAKABA FUNDA FUNDA, SASA JUZI JUMANNE USIKU TUKAWA TUNATIA STORI BASI AKANIPA STORI ZA HIZO BLOG ZAKE MWENZIO SI NIKAMTOLEA NJE KAMA KAWA, BASI WEEEE ACHA ANICHARAMBE MINENO, WE CH*** KWELI MWONE KWANZA UNAJIFANYA SMART KUMBE MNAFIKI MKUBWA SIJUI NINI NA NINI MINENO IKAMTOKA BI DADA MPAKA NIKASHANGAA YAMETOKEA WAPI? KANICHUNIA, TUNAKUJA KAZINI KIMYA KIMYA, TUNARUDI HOME KIMYA KIMYA, NAJISEMELESHA DADA WAPIII!! LEO IMENIBIDI ASUBUHI NIJICHELEWESHE KUAMKA ANIACHE NIPANDE DALADALA MAANA NINAVYONUNIWA GARINI MPAKA NAJIONA MKOSAJI, NA JIONI NATAMANI NIPANDE DALADALA PIA, LOH! DINA WE MAPENZI KWAKO YANANIKOST KWA FAMILIA YANGU LOH! BUT I STIL LV U SIS' ILA NDIO SITAKIWI KUJIVUNIA HII BLOG MAANA SASA NITAFUKUZWA HOME KABISA NAVYOONA.. MSAADA TUTANI DINA NIANZIE WAPI NA MADAM WANGU HUYU?

  • Anonymous

   December 9, 2012 at 10:02 am

   FUNGUKA ACHA KUZUNGUKA WHAT IS THE POINT HAPO

  • Anonymous

   December 11, 2012 at 7:18 am

   ZE POINT NI KWAMBA KUNA WATU CHUKI ZAO ZIPO LIVE LOH KAMA HUYU WANGU HAKUSHINDWA KUFICHA HISIA ZAKE LOH! MPAKA KUNICHUNIA NDUGU YAKE KISA DINA? SASA NILIKUWA NAFIKIRIA NIMPOTEZEE NA MIE AU NIJISHUSHE TU NIJIPENDEKEZE WEEE

 28. Anonymous

  December 10, 2012 at 5:28 am

  hebu nawe jaribu kiukweli, waweza toa copy.

 29. Dina

  December 11, 2012 at 11:34 am

  Chezea kitu Dina………………….

 30. Anonymous

  December 18, 2012 at 5:51 am

  Kipua, lips, kidevu, mashavu, paji la uso, Mungu wangu.!!

  Japo kuwa si wa tumboni mwako lkn nahisi unasikia raha sana Dina, Ila as long as ni warafiki yako, huyo ni wako pia.. Jamaniiiiiiiii Raha Aje..

Leave a Reply