Uncategorized

KUTANA NA KITU CHA MTURA

By  | 
 Mtura ni chakula maarufu sana mkoani Arusha.Ni utumbo ule unaoitwa utumbo wa maziwa unaoshwa vizuri na kufungwa halafu ndani kuwekwa vipande vidogo vidogo vya nyama.Nyama hizo zinakuwa zimetiwa pilipipili,ndimu,mboga mboga na viungo mbali mbali inategemea.Halafu unafungwa na kuchomwa.

Ukiiva ndio unaliwa na salad kama hivyo na ndizi hata chipsi.

6 Comments

 1. Anonymous

  December 4, 2012 at 4:15 pm

  huo mtura hapa Dar si ndo yanaitwa MABOMU?YANAPATIKANA SANA KATIKA BAR ZA WACHAGA SINZA.

 2. Anonymous

  December 4, 2012 at 4:53 pm

  aaaah siye huku tunaita bomu, usipime ukikuta viungo humo vimekolea vizuri plus yana ya kumwaga humo ndani utalionea raha hilo bomu…

 3. Anonymous

  December 4, 2012 at 7:20 pm

  hapa dar inapatikana wapi hii nimeimic sanaa kitu cha moshi-arushaa dah

 4. Anonymous

  December 5, 2012 at 5:47 am

  Mate yananitoka apa mh

 5. Anonymous

  December 5, 2012 at 11:50 am

  Dina please tuambie huo mtura unapatikana wapi hapa Dar.

 6. dinamariesblog

  December 6, 2012 at 6:55 am

  Hii ilikuwa Arusha Kwa hapa Dar wadau labda watuambie wapi inapatikana

Leave a Reply