Uncategorized

LIVING SINGLE VICHEKESHO VILIVYOTAMBA SANA MIAKA YA 90.

By  | 

 Kim Coles alitumia jina la Synclaire James-Jones ana miaka 50 akiwa bado anaigiza na kufanya vichekesho kama kawa.
Queen Latifa akitumia jina la Khadijah James 42 years kwa sasa akiwa ni model hasa vipodozi,pia amejikita zaidi kwenye uigizaji filamu zake alizoigiza ni nyingi mno ila kwa mwaka huu nimemuona kwenye Joyful noise
 Erika Alexander alicheza kama Maxine “Max”sasa hivi ana miaka 43 amecheza movie nyingi ya mwisho ya mwaka huu inaitwa  Suits (2012) – Sarah Leighton
Kim Fields alikuwa akitumia jina la Regina ana miaka 43 kwa sasa na mama wa mtoto mmoja .Amefanya tamthilia nyingi,filamu yake ya mwisho kwa mwaka huu ilikuwa What to expect when you are expecting.
Terrence C. Carson alikuwa akitumia jina la Kyle Barker akiwa na virasta hivi kichwani.Akiongea anasauti nzitoo ya kuvutia lakini kwa sasa ana miaka 53.Bado anaendelea kuigiza pia sauti yake imetumika sana kwenye playstation
God of War, God of War II, God of War: Betrayal, God of
War: Chains of Olympus, God of War III, God of War: Ghost of Sparta, God
of War: Ascension, God of War Collection, God of War: Origins
Collection, God of War Saga,  Hot Shots Golf: Out of Bounds,
Soulcalibur: Broken Destiny, Mortal Kombat, PlayStation All-Stars Battle
Royale
 John Henton alitumia jina la Overton “Obie”akiwa na miaka 52 sasa bado anaigiza na kufanya stand up comedy.
Nimewakumbuka tu hakuna la zaidi!

4 Comments

 1. Anonymous

  December 6, 2012 at 6:22 pm

  Dina mi natoka nje ya mada my dear, kikubwa ni kukushukuru kwa ile diet uliyowahi kuiweka hapa uwanjani siku za nyuma kidogo, yani kwakweli imenisaidia sana, within two months nimepunguza kilo nyingi nilikua na kilo 80 lkn kwa sasa nina kilo 62, namshukuru MUNGU na nimefurahi sana kwakweli mana nilikua naelekea pabaya

  jamani hakuna kisichowezekana, ukiwa na nia na matendo yakiwepo for sure unafanikiwa!!! mimi ndugu zangu walikua wananicheka eti wanasema najisumbua ntapata vidonda vya tumbo! lkn MUNGU amenisaidia mambo yameenda vizuri kama nilivyotaka

  asante sana sana sana dina, yani kwavile hakuna neno linalozidi asante niishie tu kusema ahsante! thanks! merci! shukran! webale!

  imebaki kumaintain tu

 2. Anonymous

  December 7, 2012 at 8:13 am

  Dina nimefurahi kunikumbusha comedy ya living single niliipenda sana,unaikumbuka comedy ya 227 kama una picha zao twekee pia

 3. RUKY

  December 7, 2012 at 6:18 pm

  OOH HONGERA MI NILIISHIA JDIANI KUTOKANA NA SHUGHULI NINAYOFANYA…OK DINA UMENIKUMBUHSA MBALI KUMBE SISI BADO WATOTO WEEEE MHHHH HAKUNA HAJA YA KUKIMBILIA KUOLEWA..NI KUWA NA SUBRA NA KUJIPENDA CHECK WENZETU WALIVYO BADO WANAJIPENDA UTADHANI WAPO 32….

 4. Anonymous

  December 9, 2012 at 9:54 am

  Dina sio siri nilikuwa naipenda sana hii comedy nasikitika sana ilipokwisha naomba kuuuliza wameacha kuigiza kama living single au TV zetu hazirushi.

Leave a Reply