Uncategorized

PICHA ZA WOMEN IN BALANCE ILIPOFANYIKA ARUSHA

By  | 

 Nilikuwa na wasemaji kama Aunty Sadaka,Getrude Mungai kutoka Mombasa,na Irene Mbowe wa hapo hapo Arusha.

Wenye maswali waliuliza
 Msosi mtamu ulipatikana pia hapo hapo triple a,nilipenda sana chakula cha hapo.

Asante kwa kila aliyekuja japo wengi walisikitika kushindwa kuja labda kwa kutokujua au kuchelewa kupata taarifa.Kila nilipokuwa nikienda kinamama na kinadada ambao hawakuja walisikitika sana.Nilikuja kuitambulisha nafurahi mliipokea vyema nitarudi tena mwakani Mungu akipenda.
Shukrani sana kwarafiki na dada  yangu Fide Mwakitalema kwa kunisaidia kwa kiasi kikubwa kufanikisha hili huko Arusha.Uongozi na wafanyakazi wa Tripple A fm,Mama Papaaa kwa kufanikisha hili.Program manager wa tripple a fm Borry Mbaraka,ma dj na kila mmoja aliyeshiriki kwa nafasi yake.
Nilipokuwa Arusha niliweza kupata msemaji anaitwa Irene Mbowe a.k.a Kungwi lao.Ni mzuri na niliipenda kazi yake kwa kweli.Nimeplan kumualika mwakani kwa zile zitakazofanyika hapa Dar es salaaam.Hayupo katika picha hapo juu zimepotea kwenye kamera yangu iliyopotea
Wakazi wa mwanza mnaniulizia sana vipi mbona kimya na niliahidi kuja huko December.Nimeona nipumzike na nijipange vizuri na pia nipalilie kibarua changu hapa clouds fm nisije nikaelekeza nguvu zote huko na huku kukalega mwisho nikakosa bara na pwani.Ila nawaahidi nitakuja Mwanza nitawafahamisha lini nitakuja huko.

11 Comments

 1. RUKY

  December 11, 2012 at 6:09 pm

  DAA NIMEFURAHI KUONA WATU WA HOME ARUSAH WA WA DU NAZIDI KUPAMIC ..THANKX KWA PIC

  • VALENTINA VILIABA

   December 13, 2012 at 11:50 am

   ILA MBONA KILA MTU ALIVAA NGUO YA RANGI YAKEM SI KAMA WANAKWAKE WA DSM WALIJITAHIDI KUVAA SARE KARIBIA WOTE.

 2. Anonymous

  December 14, 2012 at 1:18 pm

  Arusha kutabasamu mwiko?

 3. Anonymous

  December 19, 2012 at 8:04 am

  Jamani huyo ni Angelica Kaloli? Duh Long time naona ameanza kueeka . ukubwa mbaya!

 4. Anonymous

  December 19, 2012 at 10:02 am

  wanawake wa arusha hawajachangamka hataaaa kidogo nimekaa arusha sana saivi nipo dar nina mwaka sasa yani ikitokea kparty wakishakula haoooo nduki wanaondoka hawajui kusheherekea kama dar hapa bongo ni noma shuhuli wanajua kinoma arusha full kuzubaaaaaa

 5. Anonymous

  December 19, 2012 at 5:26 pm

  plse Dina hii ni nje ya topic i never expected kama wewe ni muhaya mwenzangu nimefurahi kusikia ukisema hivyo kwenye leo tena yaani ndo nimeziiiidi kukupenda

 6. Anonymous

  December 25, 2012 at 7:42 pm

  Nadhani wakati wa wanawake kupewa fursa ya uongozi TZ umewadia.Tazameni jinsi dada/aunt/mama zetu walivyotulia. Ingelikuwa ni wanaume ungelikuta chupa za pombe zimejaa mezani na vyoo haviingiliki kwa harufu ya mkojo!

  • VALENTINA VILIABA

   December 31, 2012 at 12:06 pm

   get a life for yourself! kwanza watu kama nyie ndiyo msiopendega kukosolewa kwa hiyo hampendi mabadiliko. Au ni mmojawapo uliyevaa rangi tofauti nadhani ulivaa rangi nyeusi. Nyie ndo mnaoharibugi shereha za wenzenu mnnaambiwa nguo ni rangi nyekundu unakuja umevaa njano. Chineke! sorry for yourself!

 7. Anonymous

  December 25, 2012 at 7:44 pm

  Valentina na Anonymous wa December 14, 2012 5:18 AM. Watu kama nyinyi hata siku moja hamtaridhika katika maisha yenu…..kwa sababu kazi yenu ni kutafuta mapungufu madogo na kuyakosoa. Get a life people!

 8. Anonymous

  January 17, 2013 at 9:48 am

  Dinah, Marios, nimekuwa nikisikia sana kuhusu huyo kungwi lao kungwi lao, kwanza nasikia ni mtoto mdogo sana wala hana 40 yrs, sasa inakuwaje kungwi anakuwa mwanamke mdogo, ana nini? na kwenye hiyo shughuli ulimpendea kitu gani, tujuze ili tuweza kumtumia kwenye shughuli zetu za kike kike..

 9. Anonymous

  August 26, 2013 at 10:46 am

  Ukitaka kumjua mtafute maana hata sisi tulikuwa tunajiauliza hivyo hivyo, ukweli ni kwamba NI WA TOFAUTI NA MAKUNGWI WENGI,, Mtafute ujue uzuri wake, kuambiwa hainogi.

Leave a Reply